Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #81
Kukita ngome kwa maana ya kuwa na msimamo thabiti juu ya kumuelekea Mungu, hapo nimekupata vyema kabisaSio KUKEMEA. Ni KUJIZATITI.
Unajua maana ya KUJIZATITI???
You FORTIFY yourself, UNAKITA NGOME NA MIPAKA.
Lazima uwaonyesha MIPAKA baina yako na wao, na wakae kabisa wakitambua HILO na walitambue kwa DHATI bila masihara.
Hii ni SHERIA ya ulimwengu. Sheria ya UHURU kwa kila MJA.
Ukishasema SITAKI hata Mungu mwenyewe hawezi kukusogelea. UNAKITA NGOME mpaka pale utakapoamua VINGINEVYO.
Cc: min -me Extrovert
unapoteza kibali au mamlaka ni sawa na ukiota umepoteza begi na ufunguo.Inamaanisha nini mpendwa
Sahihi kabisa Mr Abeid, ndoto zina maana yake kuwepo, sio jambo la kufanya mzahaamini kila kitu kiliumbwa kikiwa na maana yake! Hakuna kilichoumbwa alafu hakina maana. Ukiona hakina maana basi ujue ww ndo hujui maana yake.
Hiyo kitu siijuagi kabisa. Kiufupi mm n mshamba na hiyo kitu!jaribu meditation na uweke concentration katika mambo machache.
Yawezekana uwezo unao Ila kichwani umekuwa na mambo mengi Sana
Jaribu meditation
Wewe kama mimi tu mkuu. Halafu naambiwa sijui nimefungwa na wachawi nisiote na kujua maono sasa wanaoniambia ajabu wana life gumu kuliko mimi sasa sijui kati yangu na wao aliyefungwa naniHabari za asubuhi wadau
Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja.
Ni muda mrefu sina kumbukumbu ya ndoto yoyote ile, naota ndoto zaidi ya tatu lakini asubuhi ifikapo nikijaribu kukumbuka nashindwa.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida tu? Ni zaidi ya miaka mitatu sasa nimekuwa na hali hii. Nifanye nini?
Nimetoa nimepoteza viatu,, yaani ndoto mbaya hii usiwah omba kuota
Nimetoa
Ni kweli kabisa si kila ndoto ni ya kusimulia hasa hizi zenye maono,,na mfano mzuri tunaupata katika vitabu vitakatifu pale Yusuphu rehema na amani ziwe juu yake alipomwambia baba yake kuwa nimeota nyota 11 na mwezi vikinisujudia,baba yake akamwambia usiwaambie ndugu zako kwani shetani ataleta uadui kati yenuYani ww n kama mm tu! Days be4 hili tatizo nilikuwa naota hadi mambo ya kesho yangu yatakuwaje, nitakutana na nan au nitafanya nini au nini kitatokea kesho au siku za mbeleni. Na ndoto zangu zilikuwa very straight! Hadi shule nilikuwa naota hadi mitihan kuwa swali fuln nitalikuta kwenye paper. Kuna kipindi niliambiwa na jamaa yangu kuwa ndoto nazoota niwe naziweka siri yani nisiwe nawambia watu kwa madai kuwa kufanya hivyo najiweka hatarini sana na nguvu za giza. Nilimpuuza ila baada ya saiz kushindwa kukumbuka chochote nimeanza kupata mashaka. Mm sasa hivi naweza kuota ndoto uck nikakaa kitandani kabisa ili niihifadhi hiyo ndoto ila nikilala tena nikaamka hata nifanyaje sikumbuki kabisa. Nitakumbuka niliamka uck ili niihifadhi ndoto hiyo lkn wapi. Wengine humu mnaweza kudhan hii haiwezekani ila mm ndiyo hali niliyofikia. Saiz ili niikumbuke ndoto ambayo nikiota uck nikabahatika kuamka uck huo huo basi lazima niihifadhi kwa njia ya maandishiπ€, amini kila kitu kiliumbwa kikiwa na maana yake! Hakuna kilichoumbwa alafu hakina maana. Ukiona hakina maana basi ujue ww ndo hujui maana yake.
It's possible that our past experience is involved, but remembering it after waking up is a must.Of course it's happening inside our head, Harry, but why on earth should that mean, that it's not real?"
But for real (pun not intended), dreams are a way of our brain to process the things we've experienced in our life, hence why in dreams you will usually encounter things you very recently experienced. They aren't real in the same way as our daily lives, like when a building collapses in your dream it obviously won't have the same effect as a building collapsing in real life, but dreams are real in the same sense that our regular thoughts are.
Kuna Uzi upo hapa JF waweza utafuta andika Tahajudd (meditation) umeandikwa na MtambuziHiyo kitu siijuagi kabisa. Kiufupi mm n mshamba na hiyo kitu!
Sio kumuelekea Mungu, ni kujielekea mwenyewe.Kukita ngome kwa maana ya kuwa na msimamo thabiti juu ya kumuelekea Mungu
Ni kweli kabisa si kila ndoto ni ya kusimulia hasa hizi zenye maono,,na mfano mzuri tunaupata katika vitabu vitakatifu pale Yusuphu rehema na amani ziwe juu yake alipomwambia baba yake kuwa nimeota nyota 11 na mwezi vikinisujudia,baba yake akamwambia usiwaambie ndugu zako kwani shetani ataleta uadui kati yenu
Kwahiyo hayo mambo yapo,,na nyengine ni za maono
Binafsi huko nyuma nilikuwa sio mtu wa ibada,siku moja niliota malaika wamekuja kuchukua roho yangu ingawa sikuwaona lkn nilihisi uwepo wao karibu yangu,nikajuta sana na kutamani ningefanya ibada,wakachukua roho yangu na ikawa inapaa kwenda mbinguni,najiona kabisa napaa kwenda mara nikashtuka,nilitafakari sana na ukawa mwanzo wa kujikurubisha kufanya ibada,,,na kwa mujibu wa quran roho ikitoka kwanza chap inaenda kwa muumba kisha inarejeshwa kwa mhusika kaburini,kwahiyo nami niliota hivyo hivyo ndoto ikienda mbinguni,na ni sahihi sikuwaona malaika kwasababu ukifa ndio utawaona live kabisa
wazee wa fursa......!!!Njoo PM nikuekeze cha kufanya, Gharama haifiki hata buku!
utaota vitu hujawahi ota na utakumbuka vitu vyote unavyoota
we last born huwezi elewa hii,,yanatukuta sana ma first born πππΎSasa we ndoto inakusaidia nini maishani mwako??
Binadamu mnapenda kujitengenezea matatizo
I think we forget our dreams really quickly after we wake up because dreams happen in the same part of our brain that handles muscles.It's possible that our past experience is involved, but remembering it after waking up is a must.
mtoto wa 2000 kaa kwa kutuliawazee wa fursa......!!!
Hamna faida ya ndoto, utadanganywa sana first bornwe last born huwezi elewa hii,,yanatukuta sana ma first born πππΎ