Ni muda sasa sijawahi kumbuka ndoto yoyote niliyoota

NONDO ngumu sana hizi, zipo imara sana. Japo najitahidi kuelewa na nitafanya hivyo
 
I think we forget our dreams really quickly after we wake up because dreams happen in the same part of our brain that handles muscles.

As soon as you wake up and start moving, the memories of the dream get crowded out by your muscles doing stuff.
So after how long the memories of the dreams are crowded out by muscles
 
Yaani nyuzi za meditation ndio zilinifanya ni fall in love na jf,,mwisho wa siku nikawa mwanachama
 
.....Sasa umejuaje uliota, na huku unasema hukumbuki?
 
.....Sasa umejuaje uliota, na huku unasema hukumbuki?
😂😂Yan unaamka unatoka jasho na unauhakika ulikua kwenye varangati ila ndo hukumbuki kivipi ,,moyo upo mbio mbio yan
 
Kiufupi meditation ni ile hali ya kuwa na utulivu kiasi kwamba huwazi chochote kile kifupi unayeyusha mawazo yako,,yaani hakuna wazo linalo kuja kabisa hakika ni experience nzur sana unahisi ukimya wa hali ya juu sana,,yaani it's just you and your self

Mwanzoni itakuwa ngumu kufikia hali hiyo lkn with practice utakuwa vizur,si lazima ukae mikao fulani wanayoshauri wengi,unaweza ukawa umelala chali au umekaa kwenye kiti

Unaweza ukawa unatembea barabarani hauwazi chochote yaani ni macho tu yanaona lkn huna mawazo kabisa

Iko poa sana
 
.....Sasa umejuaje uliota, na huku unasema hukumbuki?
Nikiwa nimelala najihisi au kuona nipo kwenye ndoto kabisa, na nikishtuka najaribu kukumbuka niliota nini ila siwez.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…