Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

Umenena kweli kabisa
 
Kwamba kwa miaka 60 bado twamlaumu Mkoloni?
 
Tatizo tuna roho mbaya sana na tamaa za muda mfupi ,wavivu,wabaguzi,wavivu,tunaenda kitonga,wenye wivu na husuda,hatupendi mtu kufanikiwa na ulifanikiwa hupendi mwingine atoboea tunapenda kusifiwa
Umeongea la maana sana
 
kuna genetic differences, tuna miili mizuri ya kufanya kazi ngumu, hatudhuriwi sana na magonjwa na tuko vizuri kwenye michezo(sports) kiujumla lakini kichwani hatukujaaliwa
 
Africa kila kitu siasa, kuanzia kutengeneza vyoo hadi kununua ndege ni siasa, kila kitu kinafanywa kwa interests za vyama na viongozi lakini si kwa maslahi ya wananchi.
Kwamba chipukizi anaandaliwa ili asione ubaya wa chama tawala
 
Mafanikio lazima watu washirikiane Kwa UPENDO ndo kusonga mbele kutakuwepo.

Ubinafsi huwa unamstawisha wachache na kudumaza wengi.
 

Hizi tabia zenu hapo wcb pamoja na kujiita wasafi,joking.


Huu mtazamo wako sio sahihi.

Watu weusi sio kenge wala mijusi mbele ya mamba,sisi tuko sawa kabisa,tatizo tumeridhika tu.angalia wenzetu mpaka nje ya dunia wanakwenda,kufata nini mfano??jibu ni kwamba hawajisikii kuridhika walipo.
 
Ndo mana kuna mtu kasema mahali hapa kuwa ngozi nyeusi tuna shida sana.

Mfano kwenye nchi hii wenye akili wamekuwa wakipigwa vita sana na kufanyiwa vitimbi vya kila aina. Mfano Kambona ambaye alipingana na Nyerere kwa kuwa alikuwa na hoja zenye akili sana ila huwezi amini alitukanwa, kudhalilishwa na kutafutwa hadi akakimbilia nje ya nchi tena kwa wazungu ndo walienda kumuhifadhi
 
Umemaliza kila kitu: MAARIFA.
 
Mbona damu inamwagwa sana na bado hollah
Damu inamwagwa sawa, Je! Hiyo damu inayomwagwa ni kwa ajili ya Nini?
Kingine nimesema kupambana kutoka kwenye dimbwi la Umasikini na kupanda kwa uchumi huwa ni continuous assessment ambazo hutakiwa kukata tamaa unaweza chukua hata miaka 20 kujiokoa.

Kingine Ubinafsi, Bara la Africa tunakabiliwa na watu wabinafsi wanaojali familia zao na wengi hao ndo tunao Hadi serikarini na Mfumo umewatengeneza hivyo hata kama mtu siyo mbinafsi lakin akiingia tu huko gavoo tayari anaingia kwenye huo mfumo. ww unategemea hivyo kwamba Bara la Africa litaendelea.
 
Shida ipo hata kabla ya ukoloni,

Kwanini Sisi hatukuenda kuwatawala wao?

Kitendo cha sisi kushindwa kwenda nchi zao Hadi pale wao walipogundua uwepo wetu inaonyesha shida ilikuwepo hata kabla ya ukoloni
 
Huu ni ukweli mchungu ambao wengi wetu hatupendi kuukubali.kuna ambao watakuja na ngonjera nyingi zakujitetea ila hawajawai kubadilisha huo ukweli.Mwafrika ni kiumbe dhaifu aliyepewa nguvu akanyimwa akili.
 
Kasome "The Myth of the Book of Three Pages".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…