Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

Sio udhalilishaji ni ukweli, sisi watu weusi ndio race ya hovyo kuliko zote hapa duniani na hatuna cha maana tulichoifanyia hii dunia zaidi ya kuleta matatizo.
Ngozi nyeusi awe Africa, awe Europa awe Haiti kote anakuwa yule yule mtu kiumbe mjinga asiyejua ustaarabu.
Niambie sisi tuna mchango upi kwenye hii dunia?
Umenena kweli kabisa
 
system mkuu, nadhan ukoloni ulituadhiri sana, kila chetu tulikiacha, tukaanza kufuata mifumo waliyotupangia wao, bahat mbaya hata baada ya Uhuru, waafrica waliopaswa kutuongoza na kutuvusha ili kuzalisha taifa lenye uwezo wa kuwaza na kutenda mpaka kujitegemea (kama walivyo wachina kwa sasa ) ..... viongozi hao wamekuwa wabaya kuliko wakoloni, wamepandikiza mfumo unauzid kudumaza nguvu na akili hatimaye waafrica tumekuwa useless popote duniani, wachache wanaobahatika kutoboa wanatoboa ila wengi tuko kama sub human.
mfano hai ni serikali ya tanu kisha ccm ambao wanajisifu kutawala milele, kwa miaka 60 ya madarakani na mema yote MUNGU aliyotupa, ila tz bado ina masikini wengi, magonjwa yanatutandika kweli na ujinga ndo umepitiliza tukiongozwa na wapumbavu wanaoitwa CHAWA.
katika mazingira ya kutawaliwa na mifumo hii hata ukizaliwa genius, vikwazo na changamoto za kimifumo utaishia kutafuta elimu ya kuajiriwa au kujiajiri kwa lengo tu la kupata hela ya kujikimu, huwezi kuwa mkubwa zaidi ya hapo unless uko kwenye mfumo... leo kina KIPARA, kina NAPE, kina RIDHIWANI ni ma prince wa nchi...
tungekuwa na mifumo smart tungetoboa kama uchina ila tunafanywa mazezeta kwa manufaa ya watawala.
Kwamba kwa miaka 60 bado twamlaumu Mkoloni?
 
Tatizo tuna roho mbaya sana na tamaa za muda mfupi ,wavivu,wabaguzi,wavivu,tunaenda kitonga,wenye wivu na husuda,hatupendi mtu kufanikiwa na ulifanikiwa hupendi mwingine atoboea tunapenda kusifiwa
Umeongea la maana sana
 
kuna genetic differences, tuna miili mizuri ya kufanya kazi ngumu, hatudhuriwi sana na magonjwa na tuko vizuri kwenye michezo(sports) kiujumla lakini kichwani hatukujaaliwa
 
Africa kila kitu siasa, kuanzia kutengeneza vyoo hadi kununua ndege ni siasa, kila kitu kinafanywa kwa interests za vyama na viongozi lakini si kwa maslahi ya wananchi.
Kwamba chipukizi anaandaliwa ili asione ubaya wa chama tawala
 
Mafanikio lazima watu washirikiane Kwa UPENDO ndo kusonga mbele kutakuwepo.

Ubinafsi huwa unamstawisha wachache na kudumaza wengi.
 
Dunia ilivyoumbwa kuna mamba, kenge na mijusi. Unachoshangaa wewe ni kwa nini mjusi hafanani na mamba? Unataka labda kuna kitu mjusi anaweza fanya nae akawa mamba.
Hayo ni maumbile bro sisi watu weusi genetically tumeumbwa wajinga na dunia hii hatuna mchango wowote wa maana kuifanya dunia iwe sehemu nzuri kuishi sisi tumeumbwa kuvuruga. Ukijengewa choo bado utakunya pembeni.

Hizi tabia zenu hapo wcb pamoja na kujiita wasafi,joking.


Huu mtazamo wako sio sahihi.

Watu weusi sio kenge wala mijusi mbele ya mamba,sisi tuko sawa kabisa,tatizo tumeridhika tu.angalia wenzetu mpaka nje ya dunia wanakwenda,kufata nini mfano??jibu ni kwamba hawajisikii kuridhika walipo.
 
Na akitokea mtu mwenye kufikiri zaidi miongoni mwetu tunamuona sio mwezetu yaani tuna matatizo makubwa kwakweli. Hivi sasa kuna mtaala mpya unataka kuanza kufundishwa mashuleni huenda ukatusaidia kubadili fikra zetu japo nao unaopingwa tena na baadhi wasomi.
Ndo mana kuna mtu kasema mahali hapa kuwa ngozi nyeusi tuna shida sana.

Mfano kwenye nchi hii wenye akili wamekuwa wakipigwa vita sana na kufanyiwa vitimbi vya kila aina. Mfano Kambona ambaye alipingana na Nyerere kwa kuwa alikuwa na hoja zenye akili sana ila huwezi amini alitukanwa, kudhalilishwa na kutafutwa hadi akakimbilia nje ya nchi tena kwa wazungu ndo walienda kumuhifadhi
 
Dah umeuliza swali gumu ambalo majibu yake yanaweza yasikubalike hata ueleze vipi. Kuna wasomi kadhaa ambao wametoa nadharia zao kuhusu why baadhi wapo mbele wakati wengine wameshindwa (wasome hawa: Adam Smith (1723–90) vs Karl Marx (18181883).
Ila kuna fact zifuatazo kuhusu maendeleo:
Chimbuko la binadamu ni Africa:
Kuna zama Wajapan walikuwa juu zaid na walitawala kiuchumi na kidola sehemu kubwa ya Far east ikiwemo china;
Kuna zama wachina walikuwa juu;
Kuna zama egypt ilisumbua:
Kuna zama warumi walisumbua:
Kuna zama Waingereza waliongoza;
Kuna zama wamarekani wakawa juu:
Na sasa kijiti kinagombewa kati ya wachina na Wamarekani:
Hakuna kipindi ambacho Sub Sahara Afrika imewahi kuwa juu.

Kupitia mifano hii, unaweza ona hakuna mtu ambaye anaweza kuwa juu wakati wote, kuna kupanda, boom, na kuporomoka. Tafiti nyingi zinaonyesha mtu, jamii au nchi inayomiliki maarifa mengi zaidi ndio uwa na nafasi kubwa ya kuwa juu ya wengine kimaendeleo. Maarifa utoa mwanya wa mtu moja kuvuna ziada kutoka kwa mwingine na baadaye kuwa juu zaidi. Note: Maarifa siyo akili. unweza kuwa unaakili lakini huna maarifa. Akili unazaliwa nazo (Gift kutoka kwa mungu) wakati maarifa utafutwa. Binadamu bila kujari bara analotokea tuna uwezo wa akili unaoshabihiana ingawa baadhi yetu katika kila jamii ni gifted zaidi kiakili, ila tuna tufauti kubwa sana ya maarifa. Afrika mara zote ni ya mwisho kwa maarifa. Hivyo, Afrika ipo nyuma kwa sababu hatuna maarifa, lakini baya zaidi hatuna mikakati ya kupata maarifa.
Umemaliza kila kitu: MAARIFA.
 
Mbona damu inamwagwa sana na bado hollah
Damu inamwagwa sawa, Je! Hiyo damu inayomwagwa ni kwa ajili ya Nini?
Kingine nimesema kupambana kutoka kwenye dimbwi la Umasikini na kupanda kwa uchumi huwa ni continuous assessment ambazo hutakiwa kukata tamaa unaweza chukua hata miaka 20 kujiokoa.

Kingine Ubinafsi, Bara la Africa tunakabiliwa na watu wabinafsi wanaojali familia zao na wengi hao ndo tunao Hadi serikarini na Mfumo umewatengeneza hivyo hata kama mtu siyo mbinafsi lakin akiingia tu huko gavoo tayari anaingia kwenye huo mfumo. ww unategemea hivyo kwamba Bara la Africa litaendelea.
 
system mkuu, nadhan ukoloni ulituadhiri sana, kila chetu tulikiacha, tukaanza kufuata mifumo waliyotupangia wao, bahat mbaya hata baada ya Uhuru, waafrica waliopaswa kutuongoza na kutuvusha ili kuzalisha taifa lenye uwezo wa kuwaza na kutenda mpaka kujitegemea (kama walivyo wachina kwa sasa ) ..... viongozi hao wamekuwa wabaya kuliko wakoloni, wamepandikiza mfumo unauzid kudumaza nguvu na akili hatimaye waafrica tumekuwa useless popote duniani, wachache wanaobahatika kutoboa wanatoboa ila wengi tuko kama sub human.
mfano hai ni serikali ya tanu kisha ccm ambao wanajisifu kutawala milele, kwa miaka 60 ya madarakani na mema yote MUNGU aliyotupa, ila tz bado ina masikini wengi, magonjwa yanatutandika kweli na ujinga ndo umepitiliza tukiongozwa na wapumbavu wanaoitwa CHAWA.
katika mazingira ya kutawaliwa na mifumo hii hata ukizaliwa genius, vikwazo na changamoto za kimifumo utaishia kutafuta elimu ya kuajiriwa au kujiajiri kwa lengo tu la kupata hela ya kujikimu, huwezi kuwa mkubwa zaidi ya hapo unless uko kwenye mfumo... leo kina KIPARA, kina NAPE, kina RIDHIWANI ni ma prince wa nchi...
tungekuwa na mifumo smart tungetoboa kama uchina ila tunafanywa mazezeta kwa manufaa ya watawala.
Shida ipo hata kabla ya ukoloni,

Kwanini Sisi hatukuenda kuwatawala wao?

Kitendo cha sisi kushindwa kwenda nchi zao Hadi pale wao walipogundua uwepo wetu inaonyesha shida ilikuwepo hata kabla ya ukoloni
 
Huu ni ukweli mchungu ambao wengi wetu hatupendi kuukubali.kuna ambao watakuja na ngonjera nyingi zakujitetea ila hawajawai kubadilisha huo ukweli.Mwafrika ni kiumbe dhaifu aliyepewa nguvu akanyimwa akili.
 
Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu.

Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi huku hao wanao onekana wenzetu wakituacha mbali.

Yaani sisi kwa vitu vingi tuna kimbizwa na hawa watu wengine sio elimu, sio sayansi, sio maendeleo sio chochote sisi tunashika tela tu.

Hata mataifa yenye michanganyiko ya races. Race inayo onekana ya ajabu, dhaifu na ya mwisho ni nyeusi ukilinganisha na races nyengine.

Hata mataifa ya watu weusi yanayo onekana kusogea katika macho ya waafrika nyuma yana mchango mkubwa wa watu weupe kuwa pale yalipo.

Sisi waafrika weusi, waafrika wa kaskazini(waarabu) na watu wa Asia kwa sehemu kubwa tuli tawaliwa na foreign powers lakini baada tu ya kupata uhuru mataifa ya kaskazini mwa Afrika na mataifa ya Asia yana kimbia ila mataifa ya sisi watu weusi ni huzuni kwa kweli.


Sisi tuna tatizo gani ndugu zangu hebu tuambizane ukweli utuweke huru au wenda tuna upungufu wa kitu fulani ukilinganisha na hawa wengine ?

Tukumbuke ukweli umuweka mtu huru.
Kasome "The Myth of the Book of Three Pages".
 
Back
Top Bottom