system mkuu, nadhan ukoloni ulituadhiri sana, kila chetu tulikiacha, tukaanza kufuata mifumo waliyotupangia wao, bahat mbaya hata baada ya Uhuru, waafrica waliopaswa kutuongoza na kutuvusha ili kuzalisha taifa lenye uwezo wa kuwaza na kutenda mpaka kujitegemea (kama walivyo wachina kwa sasa ) ..... viongozi hao wamekuwa wabaya kuliko wakoloni, wamepandikiza mfumo unauzid kudumaza nguvu na akili hatimaye waafrica tumekuwa useless popote duniani, wachache wanaobahatika kutoboa wanatoboa ila wengi tuko kama sub human.
mfano hai ni serikali ya tanu kisha ccm ambao wanajisifu kutawala milele, kwa miaka 60 ya madarakani na mema yote MUNGU aliyotupa, ila tz bado ina masikini wengi, magonjwa yanatutandika kweli na ujinga ndo umepitiliza tukiongozwa na wapumbavu wanaoitwa CHAWA.
katika mazingira ya kutawaliwa na mifumo hii hata ukizaliwa genius, vikwazo na changamoto za kimifumo utaishia kutafuta elimu ya kuajiriwa au kujiajiri kwa lengo tu la kupata hela ya kujikimu, huwezi kuwa mkubwa zaidi ya hapo unless uko kwenye mfumo... leo kina KIPARA, kina NAPE, kina RIDHIWANI ni ma prince wa nchi...
tungekuwa na mifumo smart tungetoboa kama uchina ila tunafanywa mazezeta kwa manufaa ya watawala.