Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

Nafikiri nchi za watu weusi unazifahamu zilivyo ukianza na nchi yako sifikiri kama kuna utetezi wowote sisi tuna hitaji hata utetezi wa kutawaliwa hao wenzetu nao walitawaliwa lakini wapo wapi na sisi tupo wapi miaka yote ?
 
Ninachokwambia ni kwamba, Ulaya na Marekani wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kutokuwa na maadili, kwa kufanya utumwa na ukoloni. Kiasi mpaka wakampita Mchina aliyewatangulia sana kwenye teknolojia na biashara.

Na wewe unaniambia Mchina alitangulia kwenye biashara.

Kimsingi umekubali kwamba licha ya Mchina kutangulia, Ulaya na Marekani wamempita liuchumi.

Sasa swali kwako.

Ulaya na Marekani wamempitaje Mchina wakati yeye Mchina aliwatangulia?

Huoni hapo ndipo suala zima la maadili na utamaduni linapokuja?
 
Sawa
 
Huku ni kukata tamaa sana mkuu! Mtoa hoja nakitu cha kufikirisha
 
Baada ya kutawaliwa na tukawa tunaongozwa tukawa hatujituma wala kufikiria tunasubiri mpaka leo tuongozwe kwa kila jambo.

Hii inafanyika mpaka maofisini yani unaweza kuta mtu ana ujuzi wa hali ya juu ila hawezi kuutekeleza kwa sababu kiongozi kakataa

Halafu tukaaminishwa kuwa kila kitu kizuri kinatoka kwa watu waupe na sisi tunabaki kuwa watumiaji tu

Ni hayo tu niwatakie sabato njema
 
Ndio maana Mbowe yupo kwenye ziara ya Balozi za Nchi za Ulaya Magharibi kupewa muongozo.Hatujiamini kabisa.
 
AKILI NDOGO MKUU

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri nchi za watu weusi unazifahamu zilivyo ukianza na nchi yako sifikiri kama kuna utetezi wowote sisi tuna hitaji hata utetezi wa kutawaliwa hao wenzetu nao walitawaliwa lakini wapo wapi na sisi tupo wapi miaka yote ?
Ndo maana nikasema kama unahitaji kuwa sehemu ya watu waliofanya mambo muhimu duniani njia rahisi ni kutoka na kutafuta exposure huko nje. Hapa ndani ni ngumu kidogo. Kupokea malipo tu kwa mfumo wa paypal na mingineyo si rahisi sembuse mifumo complicated.
 
Madini matupu πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Ukiamini sana Uchawi na mambo ya miujiza halafu eti tupige hatua ya kuwafikia Wajapan πŸ€”
 
Misingi mkuu, tumemsahau Mungu, tumerithi kumtumikia Shetani kwa mababu zetu hapa ndo tatizo lilipo.
 
Mtu ni Roho, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Mtu Hana RANGI, RANGI Iko kwenye Mwili,

Ingekuwa RANGI ni tatizo, mzungu asingewekewa Damu ya black na kusurvive.

Tatua matatizo Yako, usisingizie RANGI Yako au uafrika w
 
Ubinafsi tulionao sio wa Dunia hii
 
Watanzania wanaoishi abroad hakuna cha maana wanachofanya zaid ya kupuyanga hawana tofauti na wanaoisha hapa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…