Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

Zama tu. Hata zamani wazungu walikuwa wanajiuliza hivi sisi watu weupe tuna shida gani.
Zama ? Mbona hizo zama zisiwe kwa wachina ambao always wao ni great ni kipindi kifupi sana wamezama katika unyonge na sifikiri kama watarudia makosa yao tena.

Hao wazungu ni wakubwa kwa maelfu ya miaka toka walipo shika usukuani hawajaachia.

Sisi tumewekwa utumwani na kwenye ukoloni kwa zaidi ya miaka 500 sisi ni wanyonge kwa miaka mingi sana kuliko jamii yoyote ile na hatuoneshi dalili ya kutoka katika unyonge huo.

Wewe leo hii nikuulize ipi ni jamii rahisi zaidi kuikoloni na kuiweka utumwani kwa sasa kati ya Jamii yetu na wajapan, wachina na waasia wengine ?
 
Wewe ndo mfano wa Waafrica ambayo ni makopo.....mpaka leo unaamini Baraka kwenye maendeleo, serious?.....hayo ma NGO's unayoyaongelea unajua kazi yake?.. au mpaka tukuambie kuwa ni madili haramu ya watu,?.... waafrica mutaendelea kuwa wamwisho kama mutaendelea na maimani ya kipuuzi kuhusu maendeleo....
 
Zama tu. Watu weusi toka wanafuga wanyama kwenye jangwa la Sahara, hadi kuanza kujenga mapiramidi na baadaye kuja kuanguka walikuwa juu zaidi ya miaka 2,000. Hizi ni zama tu.
 
Zama tu. Watu weusi toka wanafuga wanyama kwenye jangwa la Sahara, hadi kuanza kujenga mapiramidi na baadaye kuja kuanguka walikuwa juu zaidi ya miaka 2,000. Hizi ni zama tu.
Na future unaiona hiyo ya zama zetu ?
 
lakini alichoandika ni ukweli mtupu....mtu mweusi ni kiumbe cha ajabu
Cha ajabu sana.
Nakazia.
Halafu akienda Ulaya kwa Watu weupe akiitwa Mtu Mweusi anasema amebaguliwa.

Huyu ndio wa kuweza kuiletea maendeleo jamii yake kama atapewa Madaraka kweli.

Mwenyewe hajitaki atamtaka mtu mwingine?
Ndio maana Barabara ya Mwendokasi fulani haijafunguliwa hadi hii Leo.
Eti Mbovu,
ilitengenezwaje?
Mtengenezaji Yuko wapi?
Alipewaje Tenda.

Mtu anataka kuuza utaifa wake kwa zawadi ya Pipi tu na Bagia.
 
Future ipo nzuri sana. Inahitaji tu watu wachache wenye akili za kuweza kujitoa kwenye makucha ya ubeberu(Imperialism)
Nachoona ni Chinese future na Asia overall not Africa walio serious unawaona tu wanachofanya kwa sasa.

Nawe una macho naamini una shuhudia huhitaji kusimuliwa
 
Nachoona ni Chinese future na Asia overall not Africa walio serious unawaona tu wanachofanya kwa sasa.

Nawe una macho naamini una shuhudia huhitaji kusimuliwa
Asia ni kama wameishapeak. Gharama za uzalishaji kwao zimeisha kuwa kubwa, population growth imeachwa mbali na ile ya Afrika. Future ipo huku kwa watu weusi. Inahitaji tu kiongozi anayeelewa dunia inavyoenda.
 
Watu weusi ni shida hapa duniani. Wacheche miongoni mwetu tuna ubinadam ila wengi sana wanaharibu hii dunia na walipaswa kufutika kabisa.
 
Huoni hata mitume walikua weupe, [emoji23] hahahaha
 
Mtu ni Roho, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Mtu Hana RANGI, RANGI Iko kwenye Mwili,

Ingekuwa RANGI ni tatizo, mzungu asingewekewa Damu ya black na kusurvive.

Tatua matatizo Yako, usisingizie RANGI Yako au uafrika wako.
Wewe binadamu anawekewa jicho la kondoo, moyo wa nguruwe. Hilo la kuwekewa damu si chochote
 
Sidhani kama tutakaa tuje kuwa kama nchi za wenzetu walioendela. Maana Sisi ngozi nyeusi ni wabinafsi Sana. Hatuwajibiki Kwa namna yeyote Ile.

Ili tuwe kama wenzetu walioendelea inabidi watu wengi Sana wafe. Magereza inabidi zifurike wafungwa wa ulaji rushwa na wazembe. Maana kinachotukwamisha Sisi ni Uzembe na Rushwa. Na Kiongozi yeyote akitokea akawa serious katika kuzibiti Uzembe na Rushwa atachukiwa vibaya na atafanyiwa fitna ashindwe kutawala.
Nchi za wenzetu walioendelea hamna kuendekeza Uzembe wala Rushwa. Mtu akikosea anawajibika. Hamna cha kubebana kindugu,kidini,kijinsia wala kichama. Ukiboronga ni either ujiondoe ama uondolewe.
 
Ukiona vyoo vya udom vilivyo na watumiaji wake ni wasomi Utapata jibu
 
Asia ni kama wameishapeak. Gharama za uzalishaji kwao zimeisha kuwa kubwa, population growth imeachwa mbali na ile ya Afrika. Future ipo huku kwa watu weusi. Inahitaji tu kiongozi anayeelewa dunia inavyoenda.
Asia ipi unayo iongelea hapa

Teknolojia, population growth, Education, Good policies na vitu vingi tupo nyuma ya Asia mbali kabisa
 
Kwauchunguzi wangu mchungu nikwamba tunalaana ndomana tukawa watumwa kwa wenzetu na mpakasasa tu watumwa sema tu nilevel tofautii. Hatujawa watumwa Kwa bahati mbaya mpaka sasa tunategemea karibu kilakitu chamsingi toka kwa hao weupe... mpaka dini niwao wametuletea. Tuombe LAANA toka kwa mababu itutoke kusudi tuwehuru
 
Asia ipi unayo iongelea hapa

Teknolojia, population growth, Education, Good policies na vitu vingi tupo nyuma ya Asia mbali kabisa
Population growth ya Afrika ni zaidi ya 50 percent kwa miaka kumi iliyopita. Asia ni kama 20. Pia gharama za uzalishaji Asia zimekuwa sana, haiwezi kuendelea tena kuwa kiwanda cha dunia. Kwenye sasa ni potential ni Afrika. Yanahitajika mambo kidogo tu na kiongozi mwenye maono. Tukiwekeza kwenye chuma na umeme basi tumetoboa.
Haya mambo hayana ujanja wala akili, ni zama tu.
 
Tuki, tuki, tuki, kila siku ni tuki, tuki unafikiri dunia ina tusubiri ?
 

20 January 2024
Dar es Salaam, Tanzania

Wananchi na serikali zinahangaika kwa kukosa maarifa madogo kabisa


View: https://m.youtube.com/watch?v=e9VyYiimYb4Eneo la Mbezi Tangi Bovu kitongoji cha majumba ya kifahari mto Mbezi unazidi kula kingo za kamto hako na kutishia makaazi ya watu bila ufumbuzi rahisi kupatikana kutoka kwa wananchi na viongozi wao wa CCM na serikali zake ...
 
Mimi naona kuna vitu wazungu wamepitia mpaka wamefikia hapo walipo. Ili na sisi tufike kama wao inabidi turudi nyuma na tujue walitumia mbinu gani na sisi tuzitumie. Mfano kidogo Ujerumani watu wengi hawaendi kanisani lakini kila kijiji na mtaa una Kanisa. Hii inaonesha miaka mingi nyuma walikuwa ni watu wa dini sana. Lakini kwa sasa hawaipi dini kipaumbele. Tusikazane kuiga wazungu wanachokifanya sasa hivi. Hata ukifuatilia timu za mpira za EPL zilikuwa timu za wafanyakazi wa tasisi au Mashirika mbali mbali. Afrika hatuna hadhi ya kuwekeza katika michezo, wala burudani. Tunatakiwa tutengeneze jamii ya wanataaluma. Na hivi vitu vingine viwe vya ziada. Ukifuatilia nchi za Ulaya kila mtu lazima awe na bima ya afya na wanajali utu wa kila mtu haijalishi nchi,kabila,dini n.k. Ili tufanikiwe lazima turudi nyuma walichofanya wazungu halafu na sisi tufanye hayo. Wazungu wanajadili kuhusu kuruhusu Bhangi, Ushoga, Michezo na Burudani kwa sababu uchumi wao unaruhusu. Ukifuatilia kuhusu Ujerumani baada ya vita ya pili ya dunia. Utagundua kipindi hiko ilikuwa kazi kazi. Hakuna mambo ya mpira muziki sijui cinema ni viwanda na kuboresha hifadhi ya jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…