We tuliza tako, heshimu mamlaka zilizoko madarakani, mkatii sheria za nchi. Hilo ni kibaraka anataka kutuharibia nchi yetu, aharibiwe yeye kabla hajafanikiwaNa hapa ndipo tunapokosea,lazima tutofautishe nchi zinazoendeshwa kijeshi ambako katiba zinasitishwa kufanya kazi na nchi ambazo zinaongoza na serikali zilizochaguliwa na wananchi.
Katiba ni kitabu cha makubaliano kati ya wanaoongoza na wanaoongoza.Pindi tukianza kutumia nguvu ya dola kuendesha nchi tukaacha kutumia mkataba uliotuweka madarakani,maana yake hiyo serikali siyo ya kuchaguliwa na wananchi bali ni serikali ya kijeshi.
Kaharishe huo uvundo, umeibiwa niniDola inayo lipwa kwa kodi za wanan hu inapo amua kuwa kibaraka wa wezi na wala rushwa wa CCM hiyo siyo dola ni kikundi cha uhaini dhidi ya wananchi
Hakuna Dola iliyokuwa na nguvu kama East African German .Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )
Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...
Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...
EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Kuwatoa maCCM majizi na mafisadi ndio kuharibu nchi?We tuliza tako, heshimu mamlaka zilizoko madarakani, mkatii sheria za nchi. Hilo ni kibaraka anataka kutuharibia nchi yetu, aharibiwe yeye kabla hajafanikiwa
Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )
Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...
Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...
EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
A dying man kicks hard.Kinyesi mnacho nyie mdomoni.hamtamfanya lolote,hamna ubavu huo.nguvu ya umma ipo.nyau nyieWe umevimbiwa na amani, nenda Sudan halafu urudi kuandika huo upuuzi. Utaratibu upi unazungumzia? Tena mshukuruni Mungu kwa Rais mstaarabu, mwuungwana km huyu, huyo lofa wenu asiyejiheshimu asingeiona tena ardhi hii ya Tanzania km alivyokuwa Oscar Kambona. Sijawahi ona mtu wa hovyo km huyo mnyaturu. Nia yake ni kuisambaratisha hii nchi, hatafanikiwa huyo mbwa wenu. Mtu utafikiri amefungiwa kinyesi mdomoni?
Huu ni ujinga wako wa hali ya juu, a.k.a upumbavu.Nipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )
Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...
Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...
EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Yana mwisho.. Wa kuogoowa ni Mungu pekeeNipende kutoa wito kwa vijana tunaochipukia kwenye siasa lakini pia nitoe angalizo kwa wanajamii kuhusu kutofautisha kati ya Serikali(ambayo unaweza kuinyanyasa utakavyo) na Dola(ambalo ni dubwana kubwa sana lisilojali )
Unapaswa kutambua na kutofautisha vitu hivi viwili kwa umakini mkubwa ...
Dola linaweza kukushughulikia kwa namna zote ziwezekanazo ziwe halali au haramu au za uchawi au dini lakini ni lazima likunyooshe na hakuna namna unaweza kuliadhibu...DOLA halitishwi na chombo au mtu yoyote ndani au nje ya nchi...
Yaani DOLA ina maamuzi yote kwa kutumia mbinu zote na wala halijali ...lenyewe linakunyoosha tu ...halafu haliathiriki kwa chochote au lolote ....DOLA halina mshikamano na Serikali ...halibanwi na sheria yoyote...ni DUBWANA korofi mno...halina formalities au regularities ...DOLA NI DOLA HALIJALI KELELE WALA ATHARI ...
EWE KIUMBE LIHESHIMU DOLA SIKU ZOTE....DOLA NI ALFA NA OMEGA.!!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
dola halina mmiliki
Jinsi ulivyomalizia sasa!We umevimbiwa na amani, nenda Sudan halafu urudi kuandika huo upuuzi. Utaratibu upi unazungumzia? Tena mshukuruni Mungu kwa Rais mstaarabu, mwuungwana km huyu, huyo lofa wenu asiyejiheshimu asingeiona tena ardhi hii ya Tanzania km alivyokuwa Oscar Kambona. Sijawahi ona mtu wa hovyo km huyo mnyaturu. Nia yake ni kuisambaratisha hii nchi, hatafanikiwa huyo mbwa wenu. Mtu utafikiri amefungiwa kinyesi mdomoni?
Kwahiyo dola inaona Ccm inafaa kuongoza nchi licha ya ufisadi wote waliofanya kwa miaka 60? Basi hiyo dola ni useless.Naam, dola ni mfumo ndani ya mfumo, inakaa gizani sana kujadili hatma ya mambo mengi. Ina watu wake ndani sana ya vyama vya upinzani, taasisi binafsi, masokoni, bodaboda, baa, daladala, mama lishe..... You name it. Huwezi kuuliza bajeti yao.....
They are the analyst of the state of the nation at the highest level, na pia dola hiyo pia kuna dola ya ndani zaidi inaifanyia analysis. Ni vivuli ambavyo kila mtu anatembea navyo. Ni roho ya taifa imara.
Kazi yao ni moja tu, kulinda taifa at any cost. Kama alivyosema mtoa mada, hata ikibidi kwenda kwa mganga kuangalia kwenye kioo, watafanya
Rais ni mstaarabu? Hivi uliona Kibao alivyouwawa au Soka alivyopotezwa? Nyie endeleeni tu na madharau but siku yenu itafika, kwani Kenya si waliburuzwa na Moi miaka zaidi ya 27 ila siku waliposema inatosha..... historia ikabadilika.We umevimbiwa na amani, nenda Sudan halafu urudi kuandika huo upuuzi. Utaratibu upi unazungumzia? Tena mshukuruni Mungu kwa Rais mstaarabu, mwuungwana km huyu, huyo lofa wenu asiyejiheshimu asingeiona tena ardhi hii ya Tanzania km alivyokuwa Oscar Kambona. Sijawahi ona mtu wa hovyo km huyo mnyaturu. Nia yake ni kuisambaratisha hii nchi, hatafanikiwa huyo mbwa wenu. Mtu utafikiri amefungiwa kinyesi mdomoni?
Wakati vyama vingine vikikomaa katika mifumo yao ya ndani, CCM waendelee kuwepo. Imagine NCCR Mageuzi au CUF wangekamata nchi! Kila mtu anajua walivyovurugana. Zimwi likijualo(CCM)........Kwahiyo dola inaona Ccm inafaa kuongoza nchi licha ya ufisadi wote waliofanya kwa miaka 60? Basi hiyo dola ni useless.