Ni muhimu sana kuitambua na kuiogopa Dola, Serikali sio Dola. Dola ni dubwana la kuogopa

kuna wazazi wameleta takataka kwenye dunia hii,miongoni ni wazazi wako
 
Achana na nidhamu ya woga. Nchi hii ili iendelee inahitajika watu jasiri na sio vijana waoga! Vijana wasioogopa kukosoa serikali pale inapofanya maamuzi kinyume na matakwa ya wananchi. Taifa lenye wananchi wanaojipendekeza kwa watawala mafisadi hawawezi kuwakosoa viongozi mara wanapohujumu uchumi wa nchi ; hivyo kushiriki kudidimiza maendeleo.
 
Ng'ombe
 
Kwahiyo unawatisha watu? Wakuogopwa mi Mungu tu na Wala sio kingine Chochote
 
Mbona Dola haifanyi wajibu wake inatuibia KURA zetu Dola na Majambazi wamekuwa upande mmoja.
 
Usitulishe ujinga
Hiyo unayoongelea ni nchi ya manyani.

Hatuwezi kuishi kama nguruwe tusiokuwa na utaratibu. Kama CCM imeshindwa kuongoza dola itoke madarakani
Hakuna upungufu wa kiasi hicho cha watu wasioweza kufikiri
Fani ya Afya ya Akilii,iheshimiwe!Jamaa analazimisha mihogo iitwe Cassava!
 
Dola ndio hii inayosema " KWENYE ushindi was sisiem sio kura na sisiem tumo ".
Njaa Kali kishenzi na wengine wapi usiku kutwa hawalali Kama wanafanya vya maana ukiwaona wanavyorudi alfajiri.
 
Sasa dola la kijinga unalishughulikiaje?

Dola linalovumilia ufisadi, wizi, dhulma, kuuza rasilimali za nchi nje kwa bei chee, linaloona na kubariki mikataba ya kimangungo.

Dola la hivyo unalifanyaje?, Au unaliacha tu lifanye ujinga ujinga?
 
Huyu ni sare,sare maua!
 
Hiyo dola kama ipo inashuhudia kula feki, [yaani mapinduzi ya uhaini katika chaguzi] zinapigwa kwenye chaguzi ni Dola mfu, hakuna kitu bali ni genge la wahuni
 
CCM wameshika dola,

Kingekuwa kiru Cha kutisha, wasingethubutu.

Nakushauri acha ulevi.
 
No reforms no election, hivi mataifa amabayo tumeona wananchi wakiwafulumisha madarakani dola huwa hazipo?

Wananchi ndo dola yenyewe kama ulikua hujui
 
We tuliza tako, heshimu mamlaka zilizoko madarakani, mkatii sheria za nchi. Hilo ni kibaraka anataka kutuharibia nchi yetu, aharibiwe yeye kabla hajafanikiwa
Ccm hii nchi mlishaiaribu msije na visingizio kisa watu wanataka reform, chawa tulia ,hujui dunia
 
Jingalao usitujaze ujinga.
 
Hivi top secret za Serikali, za Viongozi, mpaka maisha binafsi ya Viongozi wakuu zinavuja, DOLA INAKUWA WAPI??🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nyangaaaa gweeeee😀😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…