Ni muhimu sana kuitambua na kuiogopa Dola, Serikali sio Dola. Dola ni dubwana la kuogopa

Hivi top secret za Serikali, za Viongozi, mpaka maisha binafsi ya Viongozi wakuu zinavuja, DOLA INAKUWA WAPI??🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nyangaaaa gweeeee😀😀😀😀
Dola pia inaweza kumchoma kiongozi mkubwa kama mwenendo wake unahujumu taifa. Kazi yao sio kulinda viongozi, ni kulinda taifa, kazi yao ni usalama wa taifa
 
Mtu asiyeogopa kufa hatishiki na yote hayo.
 
Sasa dola la kijinga unalishughulikiaje?

Dola linalovumilia ufisadi, wizi, dhulma, kuuza rasilimali za nchi nje kwa bei chee, linaloona na kubariki mikataba ya kimangungo.

Dola la hivyo unalifanyaje?, Au unaliacha tu lifanye ujinga ujinga?
huna uwezo wa kulishughulikia dola ...lenyewe ndio linakushughulikia pindi unapotishia uhai wake.
Fanya ufisadi ,wizi na mengineyo ila kamwe usiitishie uhai wa dola
 
Mtu asiyeogopa kufa hatishiki na yote hayo.
ni maamuzi yake ya haki kabisa ila uelewa wa athari za kupambana na dola ni muhimu sana popote pale duniani.
Dola lipo hadi huko Marekani na linafanya kazi yake kama ilivyo mahala pengine.
 
ni maamuzi yake ya haki kabisa ila uelewa wa athari za kupambana na dola ni muhimu sana popote pale duniani.
Dola lipo hadi huko Marekani na linafanya kazi yake kama ilivyo mahala pengine.
Sawa.

Lakini hivyo vitisho vinakuwa na maana kwa mtu mwenye matumaini na anayependa kuishi tu.

Ukishakuwa na falsafa ya "ready to die" dola haikuogopeshi lolote.
 
Sawa.

Lakini hivyo vitisho vinakuqa na maana kwa ntu mwenye matumaini na anayependa kuishi tu.

Ukishakuwa na falsafa ya "ready to die" dola haikuogopeshi lolote.
Ni kweli ndio maana tunaelimishana kuhusu dola ...dola limekuwepo kwa kuwa wapo watu wenye hulka korofi ambao hawaogopi au kujali...hivyo ni ama zao ama dola ...Hizi ni facts muhimu kuzitambua.
Mpinga Dola lazima aagane na nyonga.
Again :Tusichanganye kati ya Serikali na dola ...hakuna wa kukusaidia wakati unapambana na dola ...mwana kulitaka mwana kulipata
 
Kuna watu washakubali yote hayo.

Washajua wanaweza kuuawa, wanaishi kwa "ready to die" philosophy.

Nelson Mandela katika Rivonia Trials alisema yuko tayari kufa.

Unafikiri bila Nelson Mandela na wenzake kama yeye kuwa tayari kufa ile dola ya kibaguzi ya Afrika Kusini ingeondoka?

Na hao ndio wanaoleta mapinduzi.

Watu wanaokubali na kuogopa status quo kamwe hawawezi kuleta mapinduzi.
 
Nzuri!let see all endurance of The daring individuals ...muda ni mwalimu sahihi.
 
We tuliza tako, heshimu mamlaka zilizoko madarakani, mkatii sheria za nchi. Hilo ni kibaraka anataka kutuharibia nchi yetu, aharibiwe yeye kabla hajafanikiwa
Kwa matusi mnasifika,na mwanaume hasifiwi kula,anasifiwa kazi.Jibu hoja kwa hoja siyo matusi.
safari hii mtaji wenu umebuma,lazima kieleweke.
 
Tatizo unaangalia individuals badala ya kuangalia principle.
Tabia ya Dola ni pamoja na kuangalia individuals ...DOLA linafanya kazi kwa principle moja tu ...UBABE
wapinga DOLA siku zote hutaka ku-prove wrong hii principle.
my stance and advice huwezi kushindana na dola ukashinda
 
Anayetumia ubabe hauwezi kushindana na anayetumia akili.
Dola lina mbinu zote akili,uchawi,uchawa,dini,sayansi,siasa,matambiko ..you just name them...DOLA NI DUBWANA FLANI HIVI LISOJALI CHOCHOTE ILI TU LIENDELEE KUWA DOLA
 
Hiyo ni nchi ya wajinga ambayo hata maji safi ya kunywa sio uhakika.

Na nchi hiyo wajinga ni wengi ukiwemo wewe mjinga wao.
 
Wadanganye Wajinga Wenzio
 
Kwakuwa kuna DOLA ndiyo kura zipigwe siku mbili kabla?
kwakuwa kuna DOLA ndiyo wasisimamizi wa uchaguzi wawe MA kada wa ccm?
Dola gani unayozungumzia wewe KASUKU? Hii iliyomuacha MAKALA aliyedai kuna VIRUSI Vya EBOLA NA mPOX Vitaingizwa na CHADEMA au ile Ya BAO LA MKONO LA NAPE?
KAWAMBIE MAKASUKU WENZIO WEZI WA KURA HUKO LUMUMBA
 

Dolasi Mungu ikifika siku yake ya kuanguka itaanguka kama walivyanguka madhalimu wengine akina Mobutu , bashar na wengineo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…