Ni muhitimu yupi UDSM aliyehitimu shahada ya masomo ya Computer anaweza kuthibitisha anajua coding?

Kwahiyo unataka kuniambia watanzania wote hawana passion ya coding?
Umeelewa nilichokwambia au hutaki kuelewa. Toka mwanzo nimekwambia wapo watanzania wamesoma hapa hapa wanafanya vitu kibao unavitumia. Nimekupa mfano nenda pale Magila tech kuna watanzia wameshirika kuunda mifumo ya benki, azam pay, mifumo ya serikali n.k. Nenda smart code kuna vija pale wanapiga code wanaishia kulipwa mishahara ya laki 6 wakati wanatengeneza product zinazoingiza pesa nyingi kwa kampuni.
Mwisho nikakwambia, haijalishi umesoma wapi, programming ni passion kama huna passion nayo huwezi kuwa programmer mzuri.
 
yani unatengeneza azam pesa alafu unalipwaa laki 6..!
 
Kumbe ulikua haujui? Wezombi?
Kweli kabisa
programmer wapo ila maisha yao ni ya njaa sio kwa ajili programmer inataka
Kweli kabisa
simu ikiharibika utaletewa wewe

tv, radio wewe

utaulizwa unaweza kuhack CRDB uibe shilingi moja moja kwa kila mtu?

au unawezaje kupata bando bila kulipia?

kama hujui basi wewe wa mchongo
Kweli kabisa
Ulichoandika kina ukweli maana utakuta Kitengo kizima cha TEHAMA kwenye Taasisi hakuna hata Mtaalam mmoja anayejua masuala ya Coding. Hii sio kwa Taasisi za Serikali tu hata Sekta Binafsi.
Kweli kabisa
Kweli kabisa
Waliopo wamesomea nje! Sasa wanawaongopea vijana wetu course za computer science/engineering na kuwapotezea muda! Si bora tuwapeleke nje moja kwa moja kama hawawezi kuwafundisha?
Kweli kabisa
 
Si ndo ile degree unaandika makorokorooo inatokea whatsapp 😀 😀 😀 ila mpaka uyaandike ushapigika sana na asilimi 98 wnagradueate hata game la nyoka hawezi tengenezaa.
Kweli kabisa
Kweli kabisa

Kweli kabisa

Kweli kabisa

Kweli kabisa

Kweli kabisa

Kweli kabisa
Kweli kabisa
Kweli kabisa
 
unakuta anayeongea hivyo mtupu hajui hata os inaoperate vipi alafu kakalili coding anajua ni makalio kila mtu anaweza kuyachezea
 
Coding ni verb siyo noun. Kuna lugha nyingi sana za programming ambazo mtu anaweza kujifunza coding. Sasa wewe sijui unamaanisha nini kusema mtu anayejua coding.
 
Mkuu kwa UDSM hizo course kwa sasa zipo college ya COiCT.

Kuna
1. Bsc. in Computer science
2. Computer engineering
3. Telecom
4. Electronics
Hawa wote wanasoma coding ila ni wewe kijichagulia option yako. Coding wanafundishwa na zinaeleweka kabsa. Na ukitaka kujua hudhuria project presentation zao during final year.

Tatzo kubwa huwa linakuja baada ya kutoka pale.
Either uanzishe startup yako au uajiriwe kwenye makampuni yanayo develop apps. Kampuni au mashirika mengi wana mifumo iliyo tayari unakuta unashinda kufanya bugs fixing n.k....

Ila kwa kifupi miaka ya nyuma ni unakuta kila kitu tayari unabakia kuwa operator.

Siku hizi mambo yamebadilika startups ni nyingi na mwamko wa kujiajiri ni mkubwa so naamini things are getting well.
Kwa dunia ya sasa coding ni kitu rahisi sana.
Can you imagine waliosoma Pascal? Lugha ya kwanza kwanza ile na unatoka hapo unaenda kwenye C then Java. Na bado wakaunda apps....
Ni vile maisha yanakupeleka kwingine...
 
Tuchukue wanafunzi watatu waliomaliza hiyo elimu ya computer, Makerere, UDSM, na Nairobi, mmoja kila chuo. Tuone ni nani aliyelishwa matango.
 
Kuna tofauti baina ya kujua kucheza draft na kuwa stadi wa uchezaji draft ...hao wanajua tu kucheza draft ila ustadi ni 0
 
Kuna tofauti baina ya kujua kucheza draft na kuwa stadi wa uchezaji draft ...hao wanajua tu kucheza draft ila ustadi ni 0
Una experience na field unayoongelea? Au unadhani ustadi wa kucheza draft unapatikana bila kujua kucheza draft?
 
Najua unatania....kwani ku code umeona issue kubwa sana??watu tumeanza coding tangu secondary school
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…