Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Hana ushauri wa maana wa kutoa Yule mchele mchele[emoji3525]Si alisema ni mtu wa makamo? Atakuwa Suphian Juma
Bado yupo Iringa huyo mzee Mgaya....?Mzee Mgaya!
Ndio bwashee!Bado yupo Iringa huyo mzee Mgaya....?
Labda Ali Hassan MwinyiJana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake!
Rais Samia hakumtaja jina mtu huyo. Ila kwakuwa JF ni jukwaa pana na zito, je tunaweza tukamjua mtu huyo ni nani? Karibuni kwa mjadala
JK, na alifanya hivyo ili kuhakikisha Mama hapati uungwaji mkono ndani ya CCM. Maana Mama hawapendi CCM kwa sababu anaamini ndiyo adui zake. Kumbe wenzake ugomvi wa Mama na wana CCM wanautumia kutoa matumani ili 2025 wamtoseJana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake!
Rais Samia hakumtaja jina mtu huyo. Ila kwakuwa JF ni jukwaa pana na zito, je tunaweza tukamjua mtu huyo ni nani? Karibuni kwa mjadala
Labda ni makamba baba. 😂 Mzee wa fitna.Jana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake!
Rais Samia hakumtaja jina mtu huyo. Ila kwakuwa JF ni jukwaa pana na zito, je tunaweza tukamjua mtu huyo ni nani? Karibuni kwa mjadala