Ni nani alienda kumuuma Rais Samia sikio kuhusu CCM wenzanke?

Huyo Bwana ana busara sana,Samia maadui zake wamo humohumo Kijani sisi Wapinzani hoja zetu zikitimizwa hatuna maneno

Tunataka Katiba Mpyaa sasa
Yaani mama ni kilaza. Kwa hivyo awatimizie basi wapinzani kuhusu matakwa yao yote. Maana sio katiba mpya tu wanataka. Wanataka dola.
Amejisahau. .. kwani wanaccm wenzie wanachotaka ni nini? 2025 wanataka uwanja uwe wazi kwa mgombea urais sio kumpitisha mama kwa ndioooo. Wanataka ushindani wazi. Mama awamu hii sio yake aliyechaguliwa ni magufuli. Sio mtu afanye temu mbili kwa dezo. Nchi inataka rais bora sio bora rais.
 
Watakua kati ya hawa
Mwinyi senior
Jk
Mzee Butiku
Malecela
Warioba
Wasira
Inaoneka atakuwa huyo namba moja bila shaka yoyote!
Hata mfumo wa vyama vingi ulianzia kwake na uchaguzi wa 95 ulitikisa sana almanusura upinzani uchukue nchi .

Hata kijana wake serikali yake inaenda Vizuri na upinzani nafikiri anachukua busara kutoka kwa mzee.

Hata huku bara ukikopiwa mfumo kama wa visiwani maendeleo yatakuwa mswanu

The best solution ni katiba mpya itokanayo na rasimu ya Warioba
 
Jana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake!

Rais Samia hakumtaja jina mtu huyo. Ila kwakuwa JF ni jukwaa pana na zito, je tunaweza tukamjua mtu huyo ni nani? Karibuni kwa mjadala
Kwa vyovyote vile atakuwa financial services [emoji1787][emoji1787]
 
Yaani mama ni kilaza. Kwa hivyo awatimizie basi wapinzani kuhusu matakwa yao yote. Maana sio katiba mpya tu wanataka. Wanataka dola.
Amejisahau. .. kwani wanaccm wenzie wanachotaka ni nini? 2025 wanataka uwanja uwe wazi kwa mgombea urais sio kumpitisha mama kwa ndioooo. Wanataka ushindani wazi. Mama awamu hii sio yake aliyechaguliwa ni magufuli. Sio mtu afanye temu mbili kwa dezo. Nchi inataka rais bora sio bora rais.
Umeandika kitu cha msingi sana
 
Huyu Mama analeta Ngonjera.....

Kwani yeye ni Mgeni wa CCM ? Kuna asichokijua wakati ndio amekulia humo humo na huenda na yeye alishakuwepo kwenye hizo kazi zao za kuharibiana....

Pia atofautishe kuharibiana na kutofautiana hivyo ni vitu viwili tofauti....
 
Jana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake!

Rais Samia hakumtaja jina mtu huyo. Ila kwakuwa JF ni jukwaa pana na zito, je tunaweza tukamjua mtu huyo ni nani? Karibuni kwa mjadala
Impossible to predict
 
Huyu Mama analeta Ngonjera.....

Kwani yeye ni Mgeni wa CCM ? Kuna asichokijua wakati ndio amekulia humo humo na huenda na yeye alishakuwepo kwenye hizo kazi zao za kuharibiana....

Pia atofautishe kuharibiana na kutofautiana hivyo ni vitu viwili tofauti....
Anajiondoa ufahamu wakati yeye ndio kiongozi wa wanafiki.
Yeye pekee ndie tuliemsikia anataka kugombea 2025

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom