Ni nani alienda kumuuma Rais Samia sikio kuhusu CCM wenzanke?

Ni nani alienda kumuuma Rais Samia sikio kuhusu CCM wenzanke?

Alikuwa Ndugai
Alimng'ata mama.
Naye anang'atwa.
 
Ninyi ndio weupe kabisa kujua mchango wa JWTZ, kwa mama kuwa pale.
Kama hamjui na kwa taarifa yenu, JWTZ iko vizuri na TISS hawaoni ndani.
Ingekuwa jukumu la msingi kwa vyombo hivi ni Moja halafu ukaongea HIVYO Ungeeleweka vizuri sana kwa hiyo kauli yako ya '' JW iko vizuri kuliko...".
Binafsi najua Jeshi letu/JW lipo vema sana tena sana LAKINI KTK MISINGI YAKE NA LINE YAKE, Pia TISS wapo vema sana tena sana ktk MISINGI YAKE NA LINE YAKE.

Kuweni wadadisi wa kujua Mambo . juweni namna mifumo inavyofanya kazi. Mengine yapo hadi Google ingieni mtapata mengi tu. Japo mpo mnaoamini taarifa za Google ni Tango Pori.

Hivi Mmarekani umuambie Jeshi lake lipo vema kuliko CIA atakuelewa!!? Ila ukimuambia Jeshi la Anga lipo vema kuliko jeshi la Maji hapo atakuelewa, au Umuambie CIA wapo vema Kuliko Intelligence Organ zingine ndani ya nchi yake hapo atakuelewa.
 
watu wanampaisha CDF eti sio wa level ya kawaida
wakati Mabeyo kaandika Kitabu chake kizuri tu na kakifungua Kanisani akiwa na makamu wa Rais watu tukakinunua bado juzi kakigawa mitaani kwenye Dini nyingine eti haruhusiwi kuongelea maisha ya kawaida bali ni kijeshi tu wala hasogelewi
acha tumtafute Wise man aiyemuuma sikio kuwa hao wenye kijani ndio wabaya wako
(km ni wazee wa CCM wangemwambia sisi wenye kijani ndio chawa)
Umenena vyema mkuu
 
Jana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake!

Rais Samia hakumtaja jina mtu huyo. Ila kwakuwa JF ni jukwaa pana na zito, je tunaweza tukamjua mtu huyo ni nani? Karibuni kwa mjadala
YAMETIMIA....sasa Mshike mshike wa kisiasa UNAANZA
 
Back
Top Bottom