Ni nani alienda kumuuma Rais Samia sikio kuhusu CCM wenzanke?

Ni nani alienda kumuuma Rais Samia sikio kuhusu CCM wenzanke?

Huyu mama naye shida kweli kweli, si angenitaja tu kuliko kuacha wadau wahangaike hivi kupiga ramli!
 
Wewe ndio unaandika tu na vyama huvijui, haiwezekani jezi ya kijani umfuate kocha wenu au refa umwambie goli la mkono litafungwa na kijani na watakukata ngwala. Nani kasema majeshi hayana siasa au upande wa Utawala. Mara nyingi majeshi ndio huchukua Nchi na humlinda Kiongozi / Rais
CDF usimuweke pembeni alichoongea tangu na kabla ya Tangazo la mwendazake hatunaye kule Tanga anahusika na lazima aulizwe Nchi amani ipo kwake,
Narudia kukuambia hiyo siyo line ya CDF. Ungesema Boss wa Tiss ungeeleweka. Tatizo wengi wenu ni Weupe sana kuhusu Majukumu ya hivi vyombo. CDF aliposema ana dokezo basi kila linalotokea mnasema ndio hilo. Ipo siku mtasema IGP kamshauri Rais KUBORESHA SEKTA YA KILIMO cha Korosho
 
wewe ndio huelewi chochote Nchi zote Marais hawapinduliwi na usalama wa Taifa ni lazima washirikiane na Jeshi, au Jeshi liende moja kwa moja
Turudi hapa kwetu, ndani ya masaa ya Mwendazake kututoka Mama alikuwa chini ya CDF mpaka anaapishwa, jiulize wote wamebadilishwa kwanini haguswi basi ana mikoba yote
 
Haaahaaaah!!! NDIVYO MLIVYODANGANYANA HIVYO vijiweni. Dogo kuna mambo mengine yaliyopo kichwani usipende kuyatoa hadharani maana watu watajuwa UWEZO wako Kiakili.

Mimi nimeshakuelewa na SIKUBISHII TENA
 
wewe ndio DOGO kabisa tena wa juzi tu rudi kwenye Mada
wanamtafuta aliyeenda kumuuma sikio Mama kuwa mashati ya kijani ni mabaya
vitu vingine msitulazimishe tuvitamke humu km enzi za Mwendazake
HUWEZI ACHA
 
Wanaoweza kuongea hivyo ni wazee wa chama. CDF ana line ya mambo yake. Yeye na mambo ya Chama wapi na wapi.

Mnaandika tu
Kwa hiyo alimaanisha nini? Mbona ndani ya chama Kuna wanajeshi wengi tu ambao wanaweza kumwambia CDF maana ni mwenzao.Kikwete,Makamba Sr,Kina,Lubinga nk
 
Wewe ndio unaandika tu na vyama huvijui, haiwezekani jezi ya kijani umfuate kocha wenu au refa umwambie goli la mkono litafungwa na kijani na watakukata ngwala. Nani kasema majeshi hayana siasa au upande wa Utawala. Mara nyingi majeshi ndio huchukua Nchi na humlinda Kiongozi / Rais
CDF usimuweke pembeni alichoongea tangu na kabla ya Tangazo la mwendazake hatunaye kule Tanga anahusika na lazima aulizwe Nchi amani ipo kwake,
Huyu jamaa kakaririshwa ,hakumbuki hata mkwara wa Luten Jenerali Shimbo Uchaguzi wa 2015 alipoonya kwamba ,ole wake atakayekataa matokeo.
 
Ni uhuru kenyata,
Unajua kwanini
Kwasababu alimpa hongera ya kuwa rais kisha pole ya kufiwa na mtangulizi kisha ndio akamweleza aliyomweleza kwa hiyo itakuwa ni kipindi kile cha tukio
So ni hyo tu hakuna mwingine
Hao wote muliowataja ni ccm wenzake kaa hiyo wangemwambia atakayekusumbua ni kijani mwenzetu
Lakini huyo amesema atakayekusumbua ni kijani mwenzako means yeye hayumo
So ni uhuru
 
Kwa hiyo alimaanisha nini? Mbona ndani ya chama Kuna wanajeshi wengi tu ambao wanaweza kumwambia CDF maana ni mwenzako.Kikwete,Makamba Sr,Kina,Lubinga nk
watu wanampaisha CDF eti sio wa level ya kawaida
wakati Mabeyo kaandika Kitabu chake kizuri tu na kakifungua Kanisani akiwa na makamu wa Rais watu tukakinunua bado juzi kakigawa mitaani kwenye Dini nyingine eti haruhusiwi kuongelea maisha ya kawaida bali ni kijeshi tu wala hasogelewi
acha tumtafute Wise man aiyemuuma sikio kuwa hao wenye kijani ndio wabaya wako
(km ni wazee wa CCM wangemwambia sisi wenye kijani ndio chawa)
 
wewe ndio DOGO kabisa tena wa juzi tu rudi kwenye Mada
wanamtafuta aliyeenda kumuuma sikio Mama kuwa mashati ya kijani ni mabaya
vitu vingine msitulazimishe tuvitamke humu km enzi za Mwendazake
HUWEZI ACHA
mnaitana madogo
 
KAMANDA MABEYO NDO ALIMWAMBIA, MTU MWEUSI KAMA MKAA AFU HANA UZALENDO NA NCHI YAKE

MTU ANAONA KABISA HUYU MAMA HAFAI ILA ANAMKINGIA KIFUA
We mjinga kabisa na huna hata akili.
Asingekuwa Mabeyo na JWTZ saa hizi usha chanwa utumbo.
 
Mimi naona huyo mzee aliyemng'ata mama sikio anataka mama akosena na CCM wenzake, kisha CCM wengi watamchukia mama, alafu 2025 Mama atakuwa na wakati mgumu sana katika uchaguzi wa kuwania nafasi ya Urais.
 
Jana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake!

Rais Samia hakumtaja jina mtu huyo. Ila kwakuwa JF ni jukwaa pana na zito, je tunaweza tukamjua mtu huyo ni nani? Karibuni kwa mjadala
Atakuwa H. Slow slow
 
Back
Top Bottom