Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
Ninyi ndio weupe kabisa kujua mchango wa JWTZ, kwa mama kuwa pale.Narudia kukuambia hiyo siyo line ya CDF. Ungesema Boss wa Tiss ungeeleweka. Tatizo wengi wenu ni Weupe sana kuhusu Majukumu ya hivi vyombo. CDF aliposema ana dokezo basi kila linalotokea mnasema ndio hilo. Ipo siku mtasema IGP kamshauri Rais KUBORESHA SEKTA YA KILIMO cha Korosho
Kama hamjui na kwa taarifa yenu, JWTZ iko vizuri na TISS hawaoni ndani.