ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Raisi anapaswa kuwa na mtazamo/vision yake sio lazima akubali kila ushauriSamia ndiye Rais anayeshauriwa na magwiji yote ya Siasa a nchi hii, kwa pamoja, tofauti na yule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raisi anapaswa kuwa na mtazamo/vision yake sio lazima akubali kila ushauriSamia ndiye Rais anayeshauriwa na magwiji yote ya Siasa a nchi hii, kwa pamoja, tofauti na yule
Yes, wanamsaidia kui-polish vision yake, Kila Kijiji kina wazee bhaanaa, imagine washauri ni wanasiasa nguli wenye mizizi na asili ya JWTZ na vyombo vingine vya usalamaRaisi anapaswa kuwa na mtazamo/vision yake sio lazima akubali kila ushauri
Mbona kama utakuendesha sana ndo kwanzaaa janyuariHuu mwaka bora uishe tu:
Even bila katiba, mkipata mwaliko wa chai na sambusa za ikulu tu, mkipata mialiko kutuma wajumbe kwenye safari za kikazi za maza nje ya nchi, wapinzani mtapoa bila shida...[emoji2]Huyo Bwana ana busara sana,Samia maadui zake wamo humohumo Kijani sisi Wapinzani hoja zetu zikitimizwa hatuna maneno
Tunataka Katiba Mpyaa sasa
Siku ya kuapishwa,CDF General Mabeyo alisema Kuna jambo atamfuata ikulu amwambie.Jana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake!
Rais Samia hakumtaja jina mtu huyo. Ila kwakuwa JF ni jukwaa pana na zito, je tunaweza tukamjua mtu huyo ni nani? Karibuni kwa mjadala
Wanaoweza kuongea hivyo ni wazee wa chama. CDF ana line ya mambo yake. Yeye na mambo ya Chama wapi na wapi.Siku ya kuapishwa,CDF General Mabeyo alisema Kuna jambo atamfuata ikulu amwambie.
Sikutegemea kuikuta comment ya namna hii mbali kiasi hiki.Watu wasahaulifu sana hawakumbuki C.....F aliomba kwenda kumuona lini na amueleze nini.
Wewe ndio unaandika tu na vyama huvijui, haiwezekani jezi ya kijani umfuate kocha wenu au refa umwambie goli la mkono litafungwa na kijani na watakukata ngwala. Nani kasema majeshi hayana siasa au upande wa Utawala. Mara nyingi majeshi ndio huchukua Nchi na humlinda Kiongozi / RaisWanaoweza kuongea hivyo ni wazee wa chama. CDF ana line ya mambo yake. Yeye na mambo ya Chama wapi na wapi.
Mnaandika tu
Sisi wadadisi wa masuala ya kisiasa tunaona unajua mengi sana ya kina Jobo[emoji1787]Mkuu hizo guts sina kabisa, naanzaje na kama nani ? [emoji19]