Ni nani alienda kumuuma Rais Samia sikio kuhusu CCM wenzanke?

Alikuwa Ndugai
Alimng'ata mama.
Naye anang'atwa.
 
Ninyi ndio weupe kabisa kujua mchango wa JWTZ, kwa mama kuwa pale.
Kama hamjui na kwa taarifa yenu, JWTZ iko vizuri na TISS hawaoni ndani.
Ingekuwa jukumu la msingi kwa vyombo hivi ni Moja halafu ukaongea HIVYO Ungeeleweka vizuri sana kwa hiyo kauli yako ya '' JW iko vizuri kuliko...".
Binafsi najua Jeshi letu/JW lipo vema sana tena sana LAKINI KTK MISINGI YAKE NA LINE YAKE, Pia TISS wapo vema sana tena sana ktk MISINGI YAKE NA LINE YAKE.

Kuweni wadadisi wa kujua Mambo . juweni namna mifumo inavyofanya kazi. Mengine yapo hadi Google ingieni mtapata mengi tu. Japo mpo mnaoamini taarifa za Google ni Tango Pori.

Hivi Mmarekani umuambie Jeshi lake lipo vema kuliko CIA atakuelewa!!? Ila ukimuambia Jeshi la Anga lipo vema kuliko jeshi la Maji hapo atakuelewa, au Umuambie CIA wapo vema Kuliko Intelligence Organ zingine ndani ya nchi yake hapo atakuelewa.
 
Umenena vyema mkuu
 
YAMETIMIA....sasa Mshike mshike wa kisiasa UNAANZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…