Ingekua chadema wangekua wameshakamatwa, nafikiri hapo majibu unayo
Siyo CHADEMA wala siyo SERIKALI. Ni makinkia,. Ni kwa sababu makinikia yalikuwa ni ya Serikali. Makinikia yalitumika ili ionekane kuwa ni Serikali
 
Mh Lissu nafikili asirudi KWANZA bali asubili kidogo kiti kinamsubili2025, Lissu atakua rais wa nchi hii,
 
Reactions: RNA
Magufuri alikuwa ni shetani kwenye sura ya mwanadamu.

Kifo chake kimeokoa taifa. Hebu fikiria asingekufa leo hii tungekuwaje kama taifa?

Tumshukuru mungu
kwa ushahidi upi ?
 

Umeiweka CHADEMA makusudi. CHADEMA ingehusika leo kingekuwa historia kingefutwa na kupotezwa milele. Mbowe alifikiria kujilinda na Sabaya lakini kapewa kesi ya ugaidi na dunia nzima kutangaziwa Tena na Rais wa nchi kuwa Mbowe Ni gaidi.
 
Magufuli hakuwa na muda wa kupoteza na mandondocha

3: Chadema - kwa sababu Ni chama Cha wahuni

#Sina_Chama

Punguza dharau. Ila uzuri ni kwamba alikufa kifo Cha aibu na kuiacha CHADEMA ikitanua.
 
ushahidi wa maneno ambayo hayataji hata jina la Mtu hauna maana
Hiyo ndiyo inajulikana kama Circumstantial evidence ..... unaweza kuhukumiwa kwa kuzitumia. Siyo kila mtu anahukumiwa kwa kutumia physical evidence.

Kitendo cha Jeshi la police kundindwa kulifanyia kazi hilo tukio tayari ni majibu tosha .......!!
 
Sababu namba 4 ikaboreshwa na sababu namba 3. Ukapangwa mchezo mmoja saafi

Ingekuwa namba tatu anahusika basi kesi ya ugaidi ingekuwa ya Moto Sana na nadhani chadema ingefutwa milele daima.
 
ushahidi wa maneno ambayo hayataji hata jina la Mtu hauna maana

Basi nchi haina ulinzi kabisa. Yani CCTV zitolewe kwenye eneo analoishi waziri na hata upelelezi usifanyike. Tuache utani.

Hizi dharau ndio zilipelekea Magufuli akafa kimya kimya bila kelele zikabaki shutuma tu.
 
Ingekuwa yuke shetani hausiki amin amin nakwambia wahusika wangalikwisha kamatwa
 
Lisu Kila uchwao Ahadi, Ahadi, Ahadi,

Unaelekea kuwa muongo muongo kama yule jamaa.
 
Basi nchi haina ulinzi kabisa. Yani CCTV zitolewe kwenye eneo analoishi waziri na hata upelelezi usifanyike. Tuache utani.

Hizi dharau ndio zilipelekea Magufuli akafa kimya kimya bila kelele zikabaki shutuma tu.
Magufuli hakufa kimya kimya,alikufa kwa mateso makali
 
Mbowe ili aendelee kuwa mwenyekiti wa milele

Majibu Kama haya yenye dharau ndio yakapelekea Magafuli afe kifo Cha kimya kimya. Unapiga kelele hakuna msaada. Huwezi kumwaga damu za watu ukawa salama. Endeleeni kudhihaki kisasi ni Cha Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…