Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Ingekua chadema wangekua wameshakamatwa, nafikiri hapo majibu unayo
Siyo CHADEMA wala siyo SERIKALI. Ni makinkia,. Ni kwa sababu makinikia yalikuwa ni ya Serikali. Makinikia yalitumika ili ionekane kuwa ni Serikali
 
Habari wana JF,

Hivi kati ya hawa watano tukiachana na story za kufikirika na za vijiweni ni nani hasa alihusika na shambulio la Tundu lissu?

Binafsi nimemuelewa Tundu Lissu hataki kurudi nchini inawezekana kabisa hajui adui yake halisi ni nani.

sasa kati ya hawa mwenye maelezo ya kutosha amtoe wasi wasi Tundu lissu ili arudi Tanzania:-

1. Vibaka au Majambazi kwa Ajili ya kutaka Mali

2. Serikali ya Awamu ya tano ikiongozwa na Hayati JPM kwa ajiri ya faida za kisiasa au Maendeleo ya Nchi kwamba alikuwa kikwazo

3. CHADEMA ili kuchafua serikali kwa faida ya kisiasa au migogoro Chamani

4. WanaCCM wasio kuwa wanapenda kinachoendelea Awamu ya Tano na Uongozi wa JPM

5. Wengineyo ,kama kwa ajiri ya wivu wa kimapenzi na n.k

Ni nani hasa? Ujue kwenye Siasa kuna mambo mengi unaweza aminishwa kitu kumbe ni Propaganda tu.
Mh Lissu nafikili asirudi KWANZA bali asubili kidogo kiti kinamsubili2025, Lissu atakua rais wa nchi hii,
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Magufuri alikuwa ni shetani kwenye sura ya mwanadamu.

Kifo chake kimeokoa taifa. Hebu fikiria asingekufa leo hii tungekuwaje kama taifa?

Tumshukuru mungu
kwa ushahidi upi ?
 
Habari wana JF,

Hivi kati ya hawa watano tukiachana na story za kufikirika na za vijiweni ni nani hasa alihusika na shambulio la Tundu Lissu?

Binafsi nimemuelewa Tundu Lissu hataki kurudi nchini inawezekana kabisa hajui adui yake halisi ni nani.

sasa kati ya hawa mwenye maelezo ya kutosha amtoe wasiwasi Tundu Lissu ili arudi Tanzania:-

1. Vibaka au Majambazi kwa ajili ya kutaka Mali

2. Serikali ya Awamu ya tano ikiongozwa na Hayati JPM kwa ajili ya faida za kisiasa au Maendeleo ya Nchi kwamba alikuwa kikwazo

3. CHADEMA ili kuchafua Serikali kwa faida ya kisiasa au migogoro Chamani

4. WanaCCM wasiokuwa wanapenda kinachoendelea Awamu ya Tano na Uongozi wa JPM

5. Wengineyo ,kama kwa ajili ya wivu wa kimapenzi na n.k

Ni nani hasa? Ujue kwenye Siasa kuna mambo mengi unaweza aminishwa kitu kumbe ni Propaganda tu.

Umeiweka CHADEMA makusudi. CHADEMA ingehusika leo kingekuwa historia kingefutwa na kupotezwa milele. Mbowe alifikiria kujilinda na Sabaya lakini kapewa kesi ya ugaidi na dunia nzima kutangaziwa Tena na Rais wa nchi kuwa Mbowe Ni gaidi.
 
Magufuli hakuwa na muda wa kupoteza na mandondocha

3: Chadema - kwa sababu Ni chama Cha wahuni

#Sina_Chama

Punguza dharau. Ila uzuri ni kwamba alikufa kifo Cha aibu na kuiacha CHADEMA ikitanua.
 
ushahidi wa maneno ambayo hayataji hata jina la Mtu hauna maana
Hiyo ndiyo inajulikana kama Circumstantial evidence ..... unaweza kuhukumiwa kwa kuzitumia. Siyo kila mtu anahukumiwa kwa kutumia physical evidence.

Kitendo cha Jeshi la police kundindwa kulifanyia kazi hilo tukio tayari ni majibu tosha .......!!
 
Sababu namba 4 ikaboreshwa na sababu namba 3. Ukapangwa mchezo mmoja saafi

Ingekuwa namba tatu anahusika basi kesi ya ugaidi ingekuwa ya Moto Sana na nadhani chadema ingefutwa milele daima.
 
ushahidi wa maneno ambayo hayataji hata jina la Mtu hauna maana

Basi nchi haina ulinzi kabisa. Yani CCTV zitolewe kwenye eneo analoishi waziri na hata upelelezi usifanyike. Tuache utani.

Hizi dharau ndio zilipelekea Magufuli akafa kimya kimya bila kelele zikabaki shutuma tu.
 
Ingekuwa yuke shetani hausiki amin amin nakwambia wahusika wangalikwisha kamatwa
 
Lisu Kila uchwao Ahadi, Ahadi, Ahadi,

Unaelekea kuwa muongo muongo kama yule jamaa.
 
Basi nchi haina ulinzi kabisa. Yani CCTV zitolewe kwenye eneo analoishi waziri na hata upelelezi usifanyike. Tuache utani.

Hizi dharau ndio zilipelekea Magufuli akafa kimya kimya bila kelele zikabaki shutuma tu.
Magufuli hakufa kimya kimya,alikufa kwa mateso makali
 
Mbowe ili aendelee kuwa mwenyekiti wa milele

Majibu Kama haya yenye dharau ndio yakapelekea Magafuli afe kifo Cha kimya kimya. Unapiga kelele hakuna msaada. Huwezi kumwaga damu za watu ukawa salama. Endeleeni kudhihaki kisasi ni Cha Mungu.
 
Back
Top Bottom