Sawa bossSijashangaa sana lakn upo kwenye harakati za kutetea tumbo
Lakn kama kweli ww sio mnafiki ungepeleka izo taarifa unazozisema police ili tusaidiane kupata wahalifu mkuu bila
Kama sio ivyo basi siku nyingne usilete hapa maneno ya vijiwe vya kahawa
Kama mnalijua hilo..vipi sasa mnaishutumu serikali?Kwa hiyo umategemea serikali ifanye uchunguzi halafu ije ikuambie ni yenyewe ilihusika? mmmmmhhhhh makubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
IPI kali ZAIDI ya mzungu au ya serikaliNi lini misheni ya mzungu ilifeli hasa linapokuja suala LA kuua waliemkusudia
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda itakua serikali ya lumumba ya japanNaanza na kutoa pole kwa watz wenzangu juu ya Mh.Lissu kwa janga lililomkuta..
Kwamfano Siku imetokea Mara Mungu amejaalia hao wahalifu wakakamatwa na IKIBAINIKA kua serikali haikuhusiana kabisa na matendo hayo..
HAO WENYE KUISHUTUMU SERIKALI YETU YA AWAMU YA 5,JE NYUSO ZAO WATAZIWEKA WAPI??
Sent from Calculator Phone vesion007
Kwa jinsi lilivyotokea wewe kama binadamu unahisi ni nani aliyefanya kitendo hicho?Kama mnalijua hilo..vipi sasa mnaishutumu serikali?
Sent from Calculator Phone vesion007
Parochial Mind.Kabla ya kushutumu serikali watu wameshindwa kuhoji hili wakati katika CV ya Mbowe hakuna sehemu hata moja inayoonyesha Mbowe aliwai hata kupitia Mgambo au JKT lakini kabla hata ya Police kutoa statement tayari Mbowe alikuwa ameshataja mpaka aina ya silaha iliyotumika kumshambulia Lissu je alijuaje kama silaha iliyotumika ni SMG au machine gun hapa namnukuu '' Gari iliyokuwa inamfata nyuma ghafla ilitoa bunduki aina ya machine gun SMG na kuanza kumiminia risasi'' swali la kujiuliza alijuaje wakati hapakukutwa silaha eneo la tukio ?