Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Atakae bainisha ji nani?
Unafikiri Polisi inaweza sema eti ni Sirikali? au Bashite?

aeiou
 
Naanza na kutoa pole kwa watz wenzangu juu ya Mh.Lissu kwa janga lililomkuta..
Kwamfano Siku imetokea Mara Mungu amejaalia hao wahalifu wakakamatwa na IKIBAINIKA kua serikali haikuhusiana kabisa na matendo hayo..
HAO WENYE KUISHUTUMU SERIKALI YETU YA AWAMU YA 5,JE NYUSO ZAO WATAZIWEKA WAPI??

Sent from Calculator Phone vesion007
Usikute hapo umeshalipwa buku 7

Sasa mbona ujumbe wako content zero na Logic nayo hamna kbsa?

Huu ujumbe hata mtoto wangu anaesoma darasa la 4 anaweza kuuandi hii inamaanisha mleta mada una akili kama za mtoto wangu wa kike wa darasa la 4
 
isijekuwa tu naye kashiriki naye mwenyewe kashiriki kwenye tukio either kwa kujua au kutokujua kwani wakati anadai kufuatiliwa alitaja kabisa taasisi fulani kuwa zinahusika bila kuwa na ushahidi wowote.

hiyo kauli imetumika kama kinga na hao waovu.
 
Kabla ya kushutumu serikali watu wameshindwa kuhoji hili wakati katika CV ya Mbowe hakuna sehemu hata moja inayoonyesha Mbowe aliwai hata kupitia Mgambo au JKT lakini kabla hata ya Police kutoa statement tayari Mbowe alikuwa ameshataja mpaka aina ya silaha iliyotumika kumshambulia Lissu je alijuaje kama silaha iliyotumika ni SMG au machine gun hapa namnukuu '' Gari iliyokuwa inamfata nyuma ghafla ilitoa bunduki aina ya machine gun SMG na kuanza kumiminia risasi'' swali la kujiuliza alijuaje wakati hapakukutwa silaha eneo la tukio ?
 
Naanza na kutoa pole kwa watz wenzangu juu ya Mh.Lissu kwa janga lililomkuta..
Kwamfano Siku imetokea Mara Mungu amejaalia hao wahalifu wakakamatwa na IKIBAINIKA kua serikali haikuhusiana kabisa na matendo hayo..
HAO WENYE KUISHUTUMU SERIKALI YETU YA AWAMU YA 5,JE NYUSO ZAO WATAZIWEKA WAPI??

Sent from Calculator Phone vesion007

Condition sentence type III.

Mf. Laiti kama ningelikuwa Mungu ningeli.............

However, it shows impossibilities.
 
Hivi aliyemtolea Nape silaha hadharani, kesi yake vipi? Kama mbele ya hadhara wametenda hayo, wanashindwaje kumimina Risasi 30 wakiwa hawaonekani?????
 
Hahahahaaa sory mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijashangaa sana lakn upo kwenye harakati za kutetea tumbo
Lakn kama kweli ww sio mnafiki ungepeleka izo taarifa unazozisema police ili tusaidiane kupata wahalifu mkuu bila

Kama sio ivyo basi siku nyingne usilete hapa maneno ya vijiwe vya kahawa
 
Guilty conciseness.......

Wewe unategemea nani anatoa taarifa,

Jiulize wale w
 
Naanza na kutoa pole kwa watz wenzangu juu ya Mh.Lissu kwa janga lililomkuta..
Kwamfano Siku imetokea Mara Mungu amejaalia hao wahalifu wakakamatwa na IKIBAINIKA kua serikali haikuhusiana kabisa na matendo hayo..
HAO WENYE KUISHUTUMU SERIKALI YETU YA AWAMU YA 5,JE NYUSO ZAO WATAZIWEKA WAPI??

Sent from Calculator Phone vesion007
Labda yule wa nape apatikane kwanza .. na yule wa roma apatikane pia .. labda ndio wanaweza wakambaini hyu wa lissu ....

Jamaa acha wazimu mkuu , hapo hamna jipya hyo ishaisha ...maana waliofnya tukio ni watu wasiojulikana(hawajawah kupatikana)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nan kasema kuwa serikal ndo wahusika, wakat lissu aliwadanya wale mabwana wa ulaya sasa ulitegemea wamwache salama

Sent using Jamii Forums mobile app
Msijishuku jaman subirini uchunguzi na inasemekana kuna ext. Investigators itahusika na inahitaji kuhusika naomba serikali iwakubali kwa moyo safi waje wachunguze matukio yoooote ambayo serikali haijatolea report likiwepo la ROMA,NAPE, JENGO LA WANASHERIA,NA HILI LA LISSU,
 
Kabla ya kushutumu serikali wakati katika CV ya Mbowe hakuna sehemu hata moja inayoonyesha Mbowe aliwai hata kupitia Mgambo au JKT lakini kabla hata ya Police kutoa statement tayari Mbowe alikuwa ameshataja mpaka aina ya silaha iliyotumika kumshambulia Lissu je alijuaje kama silaha iliyotumika ni SMG au machine gun hapa namnukuu '' Gari iliyokuwa inamfata nyuma ghafla ilitoa bunduki aina ya machine gun SMG na kuanza kumiminia risasi'' swali la kujiuliza alijuaje wakati hapakukutwa silaha eneo la tukio ?
Ndugu yangu hivi wewe unajua maana ya SMG? Ni silaha gani inaweza kupiga risasi 28-32 kwa kipindi kifupi tofauti na silaha zilizopo kwenye kundi la SMG. Tumia basi vichwa vyenu kuwaza baadala ya hayo makalio yenu.
 
isijekuwa tu naye kashiriki naye mwenyewe kashiriki kwenye tukio either kwa kujua au kutokujua kwani wakati anadai kufuatiliwa alitaja kabisa taasisi fulani kuwa zinahusika bila kuwa na ushahidi wowote.

hiyo kauli imetumika kama kinga na hao waovu.
Mlitaka atoe ushahidi gani zaidi ya namba za gari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom