jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Risasi ya nini kaka?! Majasusi wanatumia sumu tu, kama ya :-Amlight umenichekesha. jana rafiki yangu nusura apewe talaka kwa kusema haamini serikali imemmiminia risasi Tundu.. Mimi mwenyewe siamini kabisa na wala sifichi hisia zangu. Umiminiaji wa risasi wa aina ile ni mtindo wa Zamadani. Serikali kama inania ya kumwondoa Lissu si kwa kumfatilia na gari mchana kweupe na kummiminia risasi! hivi masikio hayasikii na macho hayaoni? Lissu anaweza kuwa na maadui wengi tu kama wakili wa kujitegengemea. Mara ngapi tunasikia watu wanaua kwa vile wamenyimwa haki mahakamani? wameshindwa kesi "on technicalities ground"? sasa anayenyimwa haki akiwa na roho ndogo na stress ya ajabu anaweza kufanya nini? kuna scenario nyingi. Lakini No! No! No! hiyo sio kazi ya Serikali. Tuache kuipaka matope serikali jamani; Tumelogwa?
Kim Jong-un's half-brother Kim Jong-nam killed after being 'sprayed in face with unknown liquid', possibly by pair of female spies Kim Jong-un's half-brother Kim Jong-nam killed after being 'sprayed in face with unknown liquid', possibly by pair of female spies via @telegraphnews