AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,897
dunia nzima ni wewe peke yako unaweza kujifanya jasusi ili upigwe risasi hadi upoteze fahamu kama lisu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitakaje? Niseme kuwa tunamjua mshambuliaji na ni serikali? Hiyo ndio haki?Mtoa mada unaudhi ingekua heri ungefia tumboni usingezaliwa kuja kutetea uovu uliodhahiri damu yake mliomwaga itanena japo hamkufanikiwa lengo lenu EE MUNGU WA WOTE WENYE MWILI MPONYE LISU ILI AISEMEE TANZANIA
Sent using Jamii Forums mobile app
2. Raia wenye chuki na Lissu kwa kuikalia kooni serikali.
4. Watu wenye chuki na serikali (false-flag attack) ili waisingizie serikali uovu huu.
Mnyika, Mchange wavutana sakata la mauajimtanzania.co.tz/mnyika-mchange-wavutana-sakata-la-mauaji/
Uyu jamaa ni CCM naona anamkingia kifua jamaa zake kwa tafit za uongo YAAN mwanzo Adi mwisho anakitetea CCMUmetumwa kuja kuitetea serikali
Sawa mkuu mie ni bogus, lakini lazima ujue serikali yoyote uwa ikitaka kufanya operation kama hizo uwa hakuna makosa eti target ijeruhiwe: opeartion zote wanamaliza kazi within targeted object asap na uwa ikibidi na witness around wanamalizwa.Unasema ni gumu but at the same time unapiga ramli chonganishi eti ni cdm. You are really bogus indeed.
Scenario 1
Ukisoma tamko la Acacia la juzi Sept 4 utaona kuwa kampuni hiyo sasa inataka kurejesha uhusiano mzuri na serikali. Hata hivyo, ili mpango huu uweze kutekelezwa, lazima Acacia ihakikishe inaondoa liability; Lissu. Ni bahati mbaya ametumika bila kujua namna hawa mabeberu wanavyofanya kazi zake. Wakikuruhusu 'utazame mfalme akiwa uchi' with naked eyes, huwa unatengeneza your own liability - and they do eliminate such liabilities in their account anytime when it so dictates.
Scenario 2
Inawezekana kabisa kuna watu walinasa mawasiliano yake na walipaji (wateja wake) kuwa muda huo wangempelekea mzigo wake. Watu wabaya wakafanya timing. Kuna haja ya kufanya thorough intel screen ya sababu ya kuwepo kwake mahali alipopigiwa risasi.
Scenario 3
Makundi yasiyofurahia kuwa overtaken na Lissu (2020 race) ndani ya Chadema. Polisi wachunguze simu na mawasiliano mengine ya Lissu kujua aliwasiliana na nani na alizungumza nini muda wa mwisho kabla ya kupigwa risasi.
Scenario 4
Lissu kwa Siasa zake ameji-expose kwa agents 'provocateur operatives'. Hawa hutumia mitafaruku katika jamii kupanga na kutekeleza mauji kwa lengo la kuchagiza vurugu katika jamii ili wafanikishe malengo yao ya kiuchumi na hata kisiasa. Kwa mfano, wakati huu nchi inapigana vita ya uchumi dhidi ya mabeberu na makampuni yao, inawezekana kabisa mabebru hao kutengeneza mazingira ya kuingiza nchi kwenye vurugu na machafuko ili serikali ishindwe kusimamia vita ya kulinda uchumi wa nchi na badala yake ielekeze nguvu zake kukabiliana na vurugu. Unaweza kuanzia hapa kufikiri motive ya Gazeti la The Washigton Post katika kadhia ya Lissu. Intel ya serikali inaweza kuchukua clue hii pia. Kwa nini matukio mengine yakitokea hapa nchini hawayatangazi promptly kama hili? There must be hidden motive, which must be established.
I totally agree with you. This is an economic war against the government. There must be a hidden motive.
Hao criminal gansters ushwara lazima wakamatwe haraka iwezekanavyo.
Inteligensia yao ya kufahamu matukio kabla ipo katika kugundua uhalifu utakao kwenye maandamano ya wapinzani tu! Nje ya hapo Inteligensia kapuni. Ajabu sana nchi hii!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ls man kama ulivyosema wajipange upya na hawapenyi kwetu ng'o! Walijaribu kuleta udini walishindwa, wakajaribu ukabila wakashindwa. We are unique and we will continue staying strong! Tatizo Uncle Magu hataki kuendelea baada ya 2025 hapo ndipo anaponikosesha usingizi! jamani nani anamfahamu Mganga nikamloge asahau kumbukumbu ya miaka ikifika 2025? Magu weee!upo sahihi something been arranged somewhere, na kama si hvyo naanza kuiona ile njia ilitumika kwa mataifa mengine waki apply hapa,
bahati nzr sis hatuna udini wala ukabila, kwa hyo wameleta watu ili waanze kufanya hayo ili ionekane kuwa gvt imefanya, plan falled..
wakajipange upwa..