Pambaf!
 
Na Lisu akitoka Kenya ataufyata kama mwenzie Lema

......
 
Mchochezi mmoja kakamatwa Arusha na hizi habari za mhe. Lissu
#my_take :be carefull
 
Nyinyiemu mnacho?
 
Sawa kwa hiyo unaamzaje sasa? Mmempiga risasi Baba wa watu ili mpate cha kuongea? Ndo maana hata EU wametoa pole kwa familia yake na wala hawajataja assasins chadema!
Lumumba mko desperate, guility conscience itawasumbua sana, the government should come clean on this otherwise mmechafukwa na mtachanganyikiwa bado.
 
Get well soon learned brother
 
Usituaminishe imani yako ili nasi tukusapoti,wewe kama ulikia jipu umetumbuliwa kulalama ndio kunakupunguza machungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea mambo ya kuchonganisha na UCHOCHEZI.Je Ikiwa leo wewe utakamatwa na Polisi na wakuulize UWASASAIDIE katika upelelezi WAO ili UUDHIBITISHIE Umma kuwa Mh Rais Magufuli ALIHUSIKA.Nina maswali mawili:
1.Je UTABITISHA?
Maana hamna mtu aliye na RUHUSA awe ni nani ya kutoa uhai wa mtu mwingine.
2. Je Polisi Wakikukamata ili KUKUHOJI utasema WAMEKUONEA?

ACHA kutuletea mambo ya vijiweni na uongo wa MITANDAONI.
Tuviachieni vyombo vya dola vifanye upelelezi wake ili GARI husika LIKAMATWE na wahusika WAKAMATWE. Hata kama ni NANI?

Magufuli HAJATUMA watu WAMTETEE yeye kwa KUVUNJA sheria za nchi na kuua watu.
Waliofanya hayo ni WAHALIFU wakubwa sana.
Kila mtu ABEBE MSALABA wake.
 
elimu ya siku hizi ni magalasa kabisa,..hujiulizi kuwa dereva wa lisu ni mzima,mbowe hawezi kuwa ameelezwa hayo na dereva? rudini shule ya msingi basi muongeze maarifa kidogo
 
Mkuu,ujue hizo tuhuma si za kitoto,kwa mfano ukiombwa na mamlaka za kichunguzi uwasaidie,utawasaidia?
Wameipata ile gari iliyopaki viwanja vya bunge kisha kumfuatilia Lissu na kumshambulia?

Maswali yako yana arrogance ile ile ya "kurara nao mbere"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…