Ndugu Zipo aina zaidi ya 100 za silaha aina ya Machine gun zikiwa zimegawanywa katika makundi 5
1 Light machine gun
2 General -purpose machine gun
3 Medium machine gun
4 Heavy machine gun
5 Squad automatic weapons
Na zote zinauwezo wa kupiga risasi mfululizo lakini si machine gun pekee ndizo zenye uwezo wa kutoa risasi nying kwa mfululizo zipo hata pistols (Glock) Mkuu @
Ng'wale taasisi pekee ya kufanya uchunguzi na upelelezi ni Police tu na taarifa ya preliminary investigation Mbowe aliipata wapi wakati hata Police hawajatoa statement je chadema kuna kitengo cha investigation?