Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Kwa tukio hili la leo naamini kabisa hata wabaya wake ndani ya chama chake WANAWEZA kushiriki uovu huu.
Tayari imasemekana kuna makundi yanayomuona mjaruhiwa kama tishio ndani ya chama kwa chaguzi zijazo 2020 na 2025.

Tusubiri uchunguzi unaoendelea.
 
ningependa wataalamu wa forensic wajipambanue katika mada hii.
 
Wakati nasoma uchumi nakumbuka neno hili: *THE MOST DISHONEST LAWYERS ARE PRODUCT OF DISHONEST CLIENT*
_Demand creat the supply_

}|~[emoji813]
 
Sasa inaonyesha hukufanya uuchunguzi Bali umekurupuka,kuna aliyewahi kuwa mbunge wa morogoro kwa jina la Nikasi mahinda alivamiwa nyumbani kwake na akapigwa risasi kutoka ktk bastola hadi kufa.
 
Kwanza nitoe pole sana kwa TL, Familiaa yake na Watanzania wote wapenda Haki. Mungu aingilie kati kuokoa Maisha ya huyu shujaa wa Demokrasia Tanzania. Kilichomtokea Lissu siyo bakhti mbaya wala ajali! Ni mpango mkakati uliosukwa na kusukika!
Hili ni jaribio la mauaji ili kumnyamazisha Rais wa TLS, Mbunge wa Iramba MasharikiHADEMA),Mnadhimu KUB na Mwanasheria Mahiri Tanzania!!
Tundu Lissu ni ADUI #1 wa serikali iliyoko madarakani! Serikali imejariibu kumnyamaziisha huyu Njija kwa kumkamata na kumweka ndanii kwa kesi za kumbakia lakn wappii!!!ll. Hivo suluhisho ni kumwondoa duniani iili Wakubwa watawale bila bughudha....!!!!

Niina hakika dhana ileile iliyompoteza Benn Saanane ndiyo illiyotumika hapa! Kwanza kulitolewaa tishio na mtu aliyeomba apewe ruksa ya kumwua Llssu lakiini Polisii wakajifanya hawajui! Likaja shambulio la ofisi zaa IMMMA bado policcm wakapuuzaa maana wanajua kinachoendelea....!!!

Leo baada ya TL kupiigwa riisasi yametolewa matamko ya kulaani toka kila kona hata kwa wale maadui wa TL! Unafiki wa hali ya juu....! Kanunii za Wachawi huwa wa kwanza kufiika kwene msiba na kulia kwa sana na huwa wa mwisho kuondoka matangani...!!
Kama Lissu atapona basi Mungu ana maksudi naye.....!!! Kuna maswali magumu yanayohitaji majibu ya haraka! CHADEMA, TLS na FAMILIA ya TL lazima waangalie nani wamekuwa wa kwanza kumhudumia Lissu baada ya kupigwa risasi, je, wametoa huduma iiliiyotakiwa???Hakuna namna waliyofanya ili kukamillisha adhima yao....???
Je, huko Narobi nani wanamhudumia Lissu..Je..??Wasije wakawa ni Malaiika wa kifooo.....!!!!!
Namaliza kwa kusema maombi ya Wenyehaki yafaa sana Wakiomba kwa bidii..!!!! HAKIKA MUNGU NDIYE ATALIPA KISASI NA MUNGU HAZIHAKIWI....!!!!!Mungu atamnusuru Mhe. Tundu Lissu.Ameen!!!!!!!
 
Back
Top Bottom