Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kibaya kama jitu zima mwanaume kuosha miguu ya mwanaume mwingine yaani kujikomba.Mwanamme kamili anajitegemea kimaisha na kufanya mambo yake binafsi.List imekamilika.Wasiwapotezee muda hawaView attachment 586551
Serikali yoyote makini haiwashambulii wapinzani wake Bali huutumia upinzani kama kioo cha kujiangalia Na kujirekebisha.
Je lissu anawezaje kuwa mzembe kiasi cha kukubalia kuendeshwa Na Dereva asiyemuamini?
1. Kuna hoja kuwa kwanini Dereva wa lissu ndugu Adam hajapatwa Na risasi hata moja? Hii nitaijibu kwa mifano miwili hai.
- Hivi rais JKL alivyouwawa Dereva wake alipigwa risasi? Kwaiyo Dereva wake ndo alishiriki kumuua?
- Sheikh abood rogo aliuwawa akiwa Na baba mkwe wake ,je baba mkwe wake alipigwa risasi ? Kwaiyo baba mkwe wake alishiriki kumuua?
Hivi Dereva kupigwa risasi ndo kithibitisho kuwa hajahusika? Au Dereva kutokupigwa risasi ndo kithibitisho kuwa alihusika?
Kama Dereva anahusika baada ya wauaji kukimbia kwanini hakummaliza lissu akaamua kumkimbiza hospitali?
2. Kuna hoja kuwa baada ya Dereva kujua anafwatiliwa kwanini hakwenda sehemu yenye usalama? Hivi hoja nitaijibu kama ifwatavyo.
- Je mtaa wanaishi viongozi mbalimbali kama spika ,mawaziri,waziri Mkuu, wabunge sio sehemu salama? Kweli?
-Je ndo Mara ya kwanza kwa lissu kufwatiliwa? Hamuoni kama lissu alihisi watafwatiliwa kisha wataachwa kama ilivyo kuwa kawaida?
Kama Dereva anahusika kwanini alimzuia lissu asishuke kwenye gari baada ya kuona gari lililokuwa linawafwata bado lipo?
Ingekuwa Dereva anashirikiana nao si angemuacha lissu ashuke kwenye gari ili wauwaji wapate "clear shot"?
3. Kuna hoja kuwa kwanini baada ya lissu kwenda Nairobi Dereva kakimbia /kajificha ,Hii ni hoja dhaifu kuliko zote lakini nitaijibu
-Je mlienda nyumbani kwa Dereva wa lissu hamkumkuta ? Sasa kwanini mnasema kajificha? Mlitaka kumuona wapi?
- Je polisi walimpigia simu Dereva wa lissu aende kituoni akakataa?Kwanini mnasema kajificha/kakimbia.
mr mkiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] albadili isomweee tu.....
.....wanahaha Albadili Inasomwa Leo huko TANGA
Wew wasemaHivi server ya JF huwa haijai????
MOD, ifike mahali tushauri watu waache kuleta yanayofanana na yaliyoletwa na wengine
.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] albadili isomweee tu
Toa maoni yakoHiyo siku ambayo lissu ataongea na dunia juu ya shambulio lake kuna watu watavuliwa nguo mchana kweupe
UTATU huu sijui tuuiteje lakini kuna jambo hapa.U-Turn ya Jerry Muro,speed ya Le Mutuz na precious baby wetu kwa kweli hata.Kama ni under cover wameshakosea sana.View attachment 586551