Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Mpaka wababore yule babu kigagula ndiyo amejitoa fahamu kabisa
 
IMG_20170912_075700.jpg

Serikali yoyote makini haiwashambulii wapinzani wake Bali huutumia upinzani kama kioo cha kujiangalia Na kujirekebisha.

Je lissu anawezaje kuwa mzembe kiasi cha kukubalia kuendeshwa Na Dereva asiyemuamini?

1. Kuna hoja kuwa kwanini Dereva wa lissu ndugu Adam hajapatwa Na risasi hata moja? Hii nitaijibu kwa mifano miwili hai.

- Hivi rais JKL alivyouwawa Dereva wake alipigwa risasi? Kwaiyo Dereva wake ndo alishiriki kumuua?

- Sheikh abood rogo aliuwawa akiwa Na baba mkwe wake ,je baba mkwe wake alipigwa risasi ? Kwaiyo baba mkwe wake alishiriki kumuua?

Hivi Dereva kupigwa risasi ndo kithibitisho kuwa hajahusika? Au Dereva kutokupigwa risasi ndo kithibitisho kuwa alihusika?

Kama Dereva anahusika baada ya wauaji kukimbia kwanini hakummaliza lissu akaamua kumkimbiza hospitali?

2. Kuna hoja kuwa baada ya Dereva kujua anafwatiliwa kwanini hakwenda sehemu yenye usalama? Hivi hoja nitaijibu kama ifwatavyo.

- Je mtaa wanaishi viongozi mbalimbali kama spika ,mawaziri,waziri Mkuu, wabunge sio sehemu salama? Kweli?

-Je ndo Mara ya kwanza kwa lissu kufwatiliwa? Hamuoni kama lissu alihisi watafwatiliwa kisha wataachwa kama ilivyo kuwa kawaida?

Kama Dereva anahusika kwanini alimzuia lissu asishuke kwenye gari baada ya kuona gari lililokuwa linawafwata bado lipo?

Ingekuwa Dereva anashirikiana nao si angemuacha lissu ashuke kwenye gari ili wauwaji wapate "clear shot"?

3. Kuna hoja kuwa kwanini baada ya lissu kwenda Nairobi Dereva kakimbia /kajificha ,Hii ni hoja dhaifu kuliko zote lakini nitaijibu

-Je mlienda nyumbani kwa Dereva wa lissu hamkumkuta ? Sasa kwanini mnasema kajificha? Mlitaka kumuona wapi?

- Je polisi walimpigia simu Dereva wa lissu aende kituoni akakataa?Kwanini mnasema kajificha/kakimbia.

mr mkiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 586551

Hakuna kitu kibaya kama jitu zima mwanaume kuosha miguu ya mwanaume mwingine yaani kujikomba.Mwanamme kamili anajitegemea kimaisha na kufanya mambo yake binafsi.List imekamilika.Wasiwapotezee muda hawa
 
Mbona wengine wamekuwa wanaongea wao hamkusema haya!?
Mnawashwa na mnajua wanayochambua yameenda shule sanaaaaa.
Uoga wa nini!?
 
View attachment 586551

Serikali yoyote makini haiwashambulii wapinzani wake Bali huutumia upinzani kama kioo cha kujiangalia Na kujirekebisha.

Je lissu anawezaje kuwa mzembe kiasi cha kukubalia kuendeshwa Na Dereva asiyemuamini?

1. Kuna hoja kuwa kwanini Dereva wa lissu ndugu Adam hajapatwa Na risasi hata moja? Hii nitaijibu kwa mifano miwili hai.

- Hivi rais JKL alivyouwawa Dereva wake alipigwa risasi? Kwaiyo Dereva wake ndo alishiriki kumuua?

- Sheikh abood rogo aliuwawa akiwa Na baba mkwe wake ,je baba mkwe wake alipigwa risasi ? Kwaiyo baba mkwe wake alishiriki kumuua?

Hivi Dereva kupigwa risasi ndo kithibitisho kuwa hajahusika? Au Dereva kutokupigwa risasi ndo kithibitisho kuwa alihusika?

Kama Dereva anahusika baada ya wauaji kukimbia kwanini hakummaliza lissu akaamua kumkimbiza hospitali?

2. Kuna hoja kuwa baada ya Dereva kujua anafwatiliwa kwanini hakwenda sehemu yenye usalama? Hivi hoja nitaijibu kama ifwatavyo.

- Je mtaa wanaishi viongozi mbalimbali kama spika ,mawaziri,waziri Mkuu, wabunge sio sehemu salama? Kweli?

-Je ndo Mara ya kwanza kwa lissu kufwatiliwa? Hamuoni kama lissu alihisi watafwatiliwa kisha wataachwa kama ilivyo kuwa kawaida?

Kama Dereva anahusika kwanini alimzuia lissu asishuke kwenye gari baada ya kuona gari lililokuwa linawafwata bado lipo?

Ingekuwa Dereva anashirikiana nao si angemuacha lissu ashuke kwenye gari ili wauwaji wapate "clear shot"?

3. Kuna hoja kuwa kwanini baada ya lissu kwenda Nairobi Dereva kakimbia /kajificha ,Hii ni hoja dhaifu kuliko zote lakini nitaijibu

-Je mlienda nyumbani kwa Dereva wa lissu hamkumkuta ? Sasa kwanini mnasema kajificha? Mlitaka kumuona wapi?

- Je polisi walimpigia simu Dereva wa lissu aende kituoni akakataa?Kwanini mnasema kajificha/kakimbia.

mr mkiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
UTATU huu sijui tuuiteje lakini kuna jambo hapa.U-Turn ya Jerry Muro,speed ya Le Mutuz na precious baby wetu kwa kweli hata.Kama ni under cover wameshakosea sana.
 
Back
Top Bottom