Uko sahihi
 
Jumbe chafu kama hizi ndizo zilizosababisha Tundu Lissu wampige risasi bila kosa kabisa.ujumbe kama huu ni wa kichochezi!!!
 
In 2020 you will bent the fuc*ing knee sizonje. A lot of kids who were btn 13 to 17 yrs old will be eligible to vote by then
 
Huu ni uthibitisho tosha kabisa wa kuthibitisha kauli ya Lema. Kauli zilizojaa chuki, visasi na vitisho kutoka kwa huyu mtu ni hatari sana kwa Taifa letu na kauli zake zimeaanza kuzaa matunda. Watanzania kuishi kwa hofu kubwa sana, kupotea kwa Ben Saanane, kutekwa kwa Roma, maiti zinazookotwa kwenye fukwe za bahari na shambulizi la kutaka kuitoa roho ya Lissu.

Jumbe chafu kama hizi ndizo zilizosababisha Tundu Lissu wampige risasi bila kosa kabisa.ujumbe kama huu ni wa kichochezi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…