Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Kama wenzetu walipitia miaka nenda rudi sisi tukashindwa? Wakati wa Mchonga kilikuwa chama kimoja tulijua ndo maisha yetu tuliishi kikomunist sasa mchonga akatoka wakaanza vyama kumbe viini macho. Mimi naona turudi kule kwa zamani tujue tuna chama kimoja halafu wa kusema ndiyo waseme na akina kaboboye wa Biharamulo waliokuwa watetezi wa wanyonge na wengine waseme siyo. Hii nchi ni china na N. korea ila tofauti ni majina tu.
Uko sahihi
 
Jumbe chafu kama hizi ndizo zilizosababisha Tundu Lissu wampige risasi bila kosa kabisa.ujumbe kama huu ni wa kichochezi!!!
 
In 2020 you will bent the fuc*ing knee sizonje. A lot of kids who were btn 13 to 17 yrs old will be eligible to vote by then
 
Huu ni uthibitisho tosha kabisa wa kuthibitisha kauli ya Lema. Kauli zilizojaa chuki, visasi na vitisho kutoka kwa huyu mtu ni hatari sana kwa Taifa letu na kauli zake zimeaanza kuzaa matunda. Watanzania kuishi kwa hofu kubwa sana, kupotea kwa Ben Saanane, kutekwa kwa Roma, maiti zinazookotwa kwenye fukwe za bahari na shambulizi la kutaka kuitoa roho ya Lissu.

Jumbe chafu kama hizi ndizo zilizosababisha Tundu Lissu wampige risasi bila kosa kabisa.ujumbe kama huu ni wa kichochezi!!!
 
Back
Top Bottom