Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Uko sahihiKama wenzetu walipitia miaka nenda rudi sisi tukashindwa? Wakati wa Mchonga kilikuwa chama kimoja tulijua ndo maisha yetu tuliishi kikomunist sasa mchonga akatoka wakaanza vyama kumbe viini macho. Mimi naona turudi kule kwa zamani tujue tuna chama kimoja halafu wa kusema ndiyo waseme na akina kaboboye wa Biharamulo waliokuwa watetezi wa wanyonge na wengine waseme siyo. Hii nchi ni china na N. korea ila tofauti ni majina tu.