Jumbes
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 245
- 372
Damu ya Mh.Lissu itawawewesesha milele, haitatokea kuwa na amani hata kidogo lbd Serikali itubu hadharani mbele ya wananchi kwa jaribio hilo la kumuua! Kumbukumbu ya kujaribu kumuua Lissu imeandikwa ndani ya mioyo ya watanzania na juu ya Ardhi ya Nchi yao! Yote yatasemwa ama kwa kupotosha au kueneza propaganda za makusudi dhidi ya Mh.Lissu lkn ukweli utabaki pale pale! Laana hii iko juu ya Rais wa CCM na chama chake, hayupo aliyesalama kwa kumfanya Mh.Lissu mlemavu, Mungu aliyehai atamlipia kisasi