ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Seems like this Lisu is a saint! oops no!he is an angel.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wizara ni nini???Leo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.
Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
kwayoyote mwenye kuajiri hawa watu walete taarifa zadizain hii namuomba anitafute. Mim nimtalam nampishi mzuri wastory kama izi haiwezekani mtu alipwe buku 7 per alafu alete habar pumba kias hiki. Kwayoyote muhusika nahili swala anitafute naatafurahiswa nakazi yanguLeo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.
Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
Usikimbie. Jamaa aliyekupa taarifa hii anafanya serikalini na waliokuwa wanampa Lissu nyaraka za serikali ni wafanyakazi wa serikali hivyo ukiunganisha wafanyakazi wa serikali ndio waliompiga risasi na moja kwa moja serikali imehusika!Kweli Mkuu, wameona anajinufaisha peke yake, wakaona isiwe tabu
Umeandika nia na madhumuni tuchangie mada, na mimi hicho ndoo nimeona nichangie, unalingine?Lugha hizi si za staha hata kidogo, hakuna ulazima wa kukubaliana na nilichoeleza, unge ignore tu
Ziko hadithi nzuri...hii hukupangilia..Leo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.
Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
Sasa mkuu,ikiwakamata si itakuwa habari mtambuka ambayo hutataka kabisa kuiona. Maana itabidi hilo dili lote lifurumke.Kwa nini serikali isiwakamate ikajisafisha??
Mkuu kama ni Pumba, ungepita tu kimya kimyakwayoyote mwenye kuajiri hawa watu walete taarifa zadizain hii namuomba anitafute. Mim nimtalam nampishi mzuri wastory kama izi haiwezekani mtu alipwe buku 7 per alafu alete habar pumba kias hiki. Kwayoyote muhusika nahili swala anitafute naatafurahiswa nakazi yangu
Si hadithi, naeleza nilichoelezwa, kama ni dhambi basi mola anajuaZiko hadithi nzuri...hii hukupangilia..
Wakishirikiana na haraka harakaAkili za Bashite