Dah mkuu nahuku umo kumbeUkiishi Muda mrefu kwenu unaweza usiwe na mawazo ya kununua hata kijiko kwa sababu vipo unaviona.
Hao waliokutuma waambie hata uongo huu ungeuleta miaka 56 iliopita hakuna atakae amini.TL ni msaliti na dawa ya msaliti inajulikana duniani kote!! Kawasaliti watoa info. Siyo mkuu??
Umetumwaa bila shakaaNimefanya kosa kueleza nilichopata kwa wadau?
Yawezekana ulitumwa ukiwa hujijui.Nimefanya kosa kueleza nilichopata kwa wadau?
Hisia zako Mkuu, kosa ni lipi hapo?Umetumwaaa wewe sio bure nabilaa shakaa wew ni kibarkaa wa magwandaa yakijani shame on you
May be,lakini mbona anapiga chenga kuhojiwa na mpaka dereva anamzuia kuna siri gani hapa.Kwa akili ya kawaida inaonekana serikali ina kitu inaficha either document aliyoinunua lisu ni ya hatari kwahio hawawezi kumuattack bila plan au serikali ndo imehusika kumshambulia
Alinunua document ili alisaliti taifa?, kama alifanya hivyo hafaiKwa akili ya kawaida inaonekana serikali ina kitu inaficha either document aliyoinunua lisu ni ya hatari kwahio hawawezi kumuattack bila plan au serikali ndo imehusika kumshambulia
Leo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.
Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
Mkuu naeleza nilichoelezwa, sijabadilisha neno
Ingekuwa hivyo serikali ingekuwa mstari wa mbele kuchunguza na hata huo uchunguzi huru wa kimataifa ulioombwa ungeruhusiwa. Hoja ya kijinga sana hii ya mtu asiyejua kutengeneza uongoLeo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.
Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
Wakati ni mwalimuHao waliokutuma waambie hata uongo huu ungeuleta miaka 56 iliopita hakuna atakae amini.
Mtatajana hukohuko chadomo!Aliowadhulumu ndo waliondoa na cctv? Na ndo hao hao waliowaruhsiwa kuingia makazi ya watumishi wakubwa wa serikali. Waliodhulumiwa ndo hao pia wanaohusika na uchunguzi. Taratibu tu mtatajana hadharani, ngoja albadiri ikolee.
Lugha hii si njema kwa mtu aliestarabikaNadhani kunywa chako kinatumika kutolea haja kubwa