thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Kwa lugha hii, inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani, malezi gani umelelewaNdiyo maana Nape anasema mnapiga punyeto! Kwa akili yako hilo linaingia akilini? Wapiga punyeto nyie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa lugha hii, inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani, malezi gani umelelewaNdiyo maana Nape anasema mnapiga punyeto! Kwa akili yako hilo linaingia akilini? Wapiga punyeto nyie!
Kwann unakuw unkuwa kibaraka?ninan unaytkaa kumwaminishaa na fiction yako?watch out kijan sokilaa mtuu wakuchezeaaHisia zako Mkuu, kosa ni lipi hapo?
Kama Fid Q hahusiki, leteni zile picha za CCTV tumalize ubishiLeo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.
Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
Andika vizuri ueleweke haraka ya nn?Kwann unakuw unkuwa kibaraka?ninan unaytkaa kumwaminishaa na fiction yako?watch out kijan sokilaa mtuu wakuchezeaa
Ntakuuliza swali moja tu,Leo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.
Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
Wap hujaelewaa?ndomana nasema mkuu wew umetumwaa unajarib kudraw attention za wat skujib tenaAndika vizuri ueleweke haraka ya nn?
Muhuni tu huyoSasa hapo umejibu hoja gani?
Leo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.
Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
Wewe ndiye mpuuzi unahisi mambo ya kipuuzipuuzi tu..Tena wewe ni mjinga zaidi ya hao wapiga punyeto anaosema Nape. Sasa kama ni hivyo kwanini polisi wa ulinzi wakaondolewa siku ya tukio? Kwanini cctv camera ikaondolewa? Inawezekanaje mtu ajipenyeze na silaha nzito tena kwa kujiamini hivyo kama hakuna baraka za Magufuli..Shenzi kabisa wewe!Kwa lugha hii, inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani, malezi gani umelelewa
Tena shetani wa kike alielaaniwaShetani ww
Hadi kudanganywa kwa kiasi hicho ni wazi una akili finyu mnooo.Na unavyoonekana ulitaka kumpiga mzinga wa hela akakutuliza kwa stories za uongo ili ubaki unanashangaa yeye akukimbie.TL ni msaliti na dawa ya msaliti inajulikana duniani kote!! Kawasaliti watoa info. Siyo mkuu??
Kama huu ni uzushi ukweli ni upi, wewe na mungu wako?
we jamaa maku.Leo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.
Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
Maelezo yote haya ya Nini?, Suala hapa ni Kweli wamedhulumiana au la!Kwanza lazima uelewe kuwa serikali za CCM toka awamu ya 2 zimeliinguza taifa katika mikataba mibovu sana. Na toka miaka ya 1990 TL amejitahidi sana kupigia kelele suala hili. Sasa sijui wazungu ambao wananufauka na ubovu wa mikataba hiyo wana mlipa TL ili awafanyie kitu gani.
Pili unatakiwa kukubali kuwa awamu hii ya 5 inajaribu kujiangaza kwamba ndio mkombizi wa mikataba hiyo mibovu bila kuziwajibisha serikali zilizopita na kujaribu kutafuta wa kumtupia lawama. Hapa TL anapachikwa usaliti kwa kujaribu kuitahadharisha serikali hii na approaches inazojaribu kuzitumia na madhara yake kisheria. JPM anaona kama anacheleweshwa. Ndege ilipokamatwa serikali ilitaka.kuficha ukweli na TL akauweka wazi. Serikali ikakasirika na yaliyompata TL kila mtu anayajuwa.
Hizi spin off mnazojaribu kuzifanya katu hazito wasaidia hata kidogo. Ni sawa na kufagia chumba uchafu una usukuma chini ya kitanda.