Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,203
- 1,235
Siku hizi madereva maeneo mbalimbali Tanzania Zebra crossing inaheshimika sana, tena hata taa mbili za indicator zote zinawashwa mita 3 kabla ya kuvuka. Ninahakika ingekuwa kipindi cha nyuma kidogo iko hivi, SUGU asingemgonga yule kijana Yatima na kumuua. Mbilinyi Sugu alimgonga mtoto Yatima na Kumuua Kabisa tena kwenye Punda milia na kumuachisha masomo. Lakini hili wanachadema hawaliongelei, wanakomaa na Tundu Lisu kupigwa Risasi bila kujari kuwa Sugu alimgonga Yatima na kumuua kwenye Zebra crossing.