Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,010
- 6,678
Eti huyu ndiye TISS ya CCM kwaajili ya kumsafisha Jiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia wewe muosha jiweMtumeee!
Kaaazi kweli kweli walahi
Lissu mwenyewe amemtaja aliyepanga, mbona mnahaha sana?Tokea mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni T Lisu apigwe risasi mchana kweupe kuna nadharia kadhaa zimeibuka kujaribu kuelezea huo upigwaji risasi wa Lisu.
Lisu mwenyewe alipotembelewa na makamu wa rais akiwa Nairobi alikiri wazi kuwa hawajui waliompiga risasi na kuviachia vyombo vya dola vifanye uchunguzi wake.
Ingawa hivi majuzi akiwa ubeligiji ameibuka na kuihusisha serikali na upigwaji wake risasi.
Nadharia nyingine inatokea ndani ya chama cha chadema ,gazeti la Jamvi la habari wameelezea A to Z kuwa Lisu alipigwa risasi baada ya kutishia uenyekiti wa Mbowe. Wameeleza siku chache kabla ya kupigwa risasi kulikuwa na vikao kadhaa vya wanachadema wakimtaka Lisu agombee uenyekiti.
Pia aliyekuwa mbunge wa Ukonga na mjumbe wa kamati kuu ya chadema naye alinogesha nadharia hii baada ya kuelezea namna watu wanavyopata misukosuko wakitangaza kugombea uenyekiti ndani ya chadema.
Waitara alihusisha kufa kwa Chacha Wangwe ,kutaka kulishwa sumu kwa Zito Kabwe ,kupigwa risasi kwa Lisu na yeye mwenyewe kutishiwa kushughulikiwa iwapo atagusa kiti cha mwenyekiti ndani ya chama..
Kama kweli Mbowe anasingiziwa kwenye tuhuma hizi za kuuwa watu wanaotaka kugombea uenyekiti ndani ya chama basi aende mahakamani kutaka kusafishwa na tuhuma hizi.
Mbowe akiendelea kukaa kimya bila kuwaburuta mahakamani wanaomtuhumu basi , mamilioni ya watanzania watajua ni kweli View attachment 829281View attachment 829284

Uwezo wao ni Mdogo sana Wa Kufikiri ''They are using old tricks ''Naona msiojulikana mnatapatapa
Aliye iweka Kwenye Gazeti atakujibu vizurihii ni kesi iko polisi,, kwanini watu wanaiongea sana????
Kwa hiyo waitara amesingizia?Kwa nini aende Mbowe na siyo hao waliotwambia wanawatafuta wasiojulikana? Sasa si amejulikana? Wamkamate sasa. Unasemaje hajulikani na bado unasema aliyefanya haya ni Mbowe? Kwani Mbowe hajulikani? Hivi mbona kwa Mbowe mnapata Tabu sana namna hii? Aliwafanya au anawafanya nini hadi kupata sana tabu naye namna hii?
Ha ha haaa! Watetezi wa bichwa mmeshaanza kuweweseka. Mhutu analo hili; na bado mpaka nywele zote zinyonyoke. Dadadeki.Tokea mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni T Lisu apigwe risasi mchana kweupe kuna nadharia kadhaa zimeibuka kujaribu kuelezea huo upigwaji risasi wa Lisu.