Hili la Lissu litawatesa saaana. Na hiyo ni mwanzo tu. Sishangai jaribio la kamhusisha Mbowe kwa kuwa pia yeye ndo anatuhumiwa kwa mauaji ya Akwilina! Kwa mtazamo huo wa wana Lumumba inaonekana Mbowe ana nguvu kubwa kuliko ambavyo wengi wetu tunafahamu. Yaani yeye apange mauaji, halafu aamuru vyombo vya dola vinavyotoa ulinzi visiwepo eneo la tukio. Halafu aamuru CCTV zilizokuwa zimefungwa eneo la tukio ziondolewe! Duh kweli Mbowe ana nguvu
 
Habari wanajamvi, nilikuwa sijui kama madaraka ni matamu kiasi hiki! Hakika laana ya mauaji inawakimbiza wengi CHADEMA.
 
Attachments

  • JAMVI.jpg
    101 KB · Views: 34
Nauliza kama Mbowe alitaka kumuua Lissu kwanini alihangaika sana mpaka akaenda kinyume cha utaratibu ili Lissu apewe matibabu yanayostahili? Na kama wale wengine walikuwa hawana nia hiyo kwanini walikomaa ili afie kwenye huduma mbovu?
 
Nashangaa sana wanaomkomalia MBOWE na kumuoa kama Mwenyekiti ndani ya Chadema.
 
Kiungwana na kibinadamu nadhani sio vizuri hili jambo likaachwa kama lilivyo, upelelezi huru ufanyike culprit apatikane apate stahili yake.
 
Habari wanajamvi, nilikuwa sijui kama madaraka ni matamu kiasi hiki! Hakika laana ya mauaji inawakimbiza wengi CHADEMA.
Ilitakiwa Walinzi muwaache pale getini kwenye Lindo muwapige hata miguuni hata pembeni au juu hapo mmepotea hamuwezi kujisafisha ''Kitendo cha kuwaondoa walinzi pale kwenye lindo inaonyesha jinsi gani uwezo wenu wa kufikiri ulivyo mdogo'' one mistake its a goal''
 
Habari wanajamvi, nilikuwa sijui kama madaraka ni matamu kiasi hiki! Hakika laana ya mauaji inawakimbiza wengi CHADEMA.

Wenzako wamejaribu kupotosha toka juzi lakini wameshindwa. Lissu yuko hai na anajitambua. Huyo anayemtaja ndio haswa.
 
Kwa iyo mbowe ana uwezo wa kulizuia jeshi LA polisi lisifanye uchunguzi juu ya tukio hilo??
 
Mkuu ungeanza kumshauri yule mwizi wa tirion 1.5 ili tuamini kama hajaiba yy.
 
Habari wanajamvi, nilikuwa sijui kama madaraka ni matamu kiasi hiki! Hakika laana ya mauaji inawakimbiza wengi CHADEMA.
hata kama unatumia akili ya 'chekechea' huwezi kuwa mshabiki kiasi hiki....
hata kama mbowe hapendwi. ila sio kwa staili hii
 
Kwa iyo mbowe ana uwezo wa kulizuia jeshi LA polisi lisifanye uchunguzi juu ya tukio hilo??
Wanataka mbowe awe kama lipumba, kila kitu ndio mzee. Mtu ana phd ila utadhani aliishia primary, na ndicho wanataka mbowe awe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…