Umeuliza maswali na umejibu....

Ndani ya majibu kwa maswali, tayari na mjadala umejifunga mwenyewe...!!
 
Kuna ushahidi wa kimazingira ambao mtu mwenye akili timamu anaweza kuyatumia kubaini mhusika aliyeamuru shambulio dhidi ya Lissu, Kwanza:-

1: Ni kauli ya nchi ikiwa vitani halafu askari mmoja akasaliti nadhani mnajua ambacho huwa anafanywa, kauli hii ilitolewa na mtu mzito nchini.

2: Askali wanaolinda nyumba za viongozi wa serikali Dodoma siku ya tukio kutokuwepo hapo.

3: Kamera za CCTV kuondolewa eneo la tukio na kufichwa kusikojulikana.

4: Tundu Lissu kunyimwa gharama za matibabu, hapa haiwezi kuingia akilini eti hakufuata utaratibu? hivi kwa hali ile angefuata utaratibu kweli? acheni majibu mepesi kwa maswali magumu.

5: Moja ya utaratibu ambao unadaiwa kuwa haukufuatwa na Tundu Lissu ili apate fedha za matibabu ni kwamba Rais hakutoa kibali.....sasa swali linakuja....Hivi kweli Rais alikosa Utu, Ubinadamu na busara kuona kwamba huyu Tundu Lissu hata kama sheria zipo basi kwa hali aliyonayo apewe fedha tu za matibabu? Ubinadamu upo wapi? Utu upo wapi?

6: Hata simu tu kupigiwa kujuliwa hali ilishindikana?

Hivyo, itoshe kusema kwamba mhusika mkuu wa shambulio dhidi ya Lissu ni Jiwe Kuu, na tushamjua toka zamani, Roho mbaya haijengi, kumbuka ulikuwa MBUNGE tu wa kawaida, hayo mamlaka ya kuamuru mauaji umeyatoa wapi wewe Jiwe?
 
Aliyempiga Lisu anajulkana, hakuna utata. Tunasuburi muda muafaka ufike atajwe!
 
Alieendesha shambulio ni Ndugai narudia Ndugai narudia Ndugai.
 
Reactions: bmk
Alifanya kosa sana kutaka kumfunga kinywa Lisu kwa kudhamiria kumuua.
Jiwe miezi yake inahesabika ataondolewa kwenye ulingo wa siasa.
 
Lissu kidomodomo chake..! Alikosa maadili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…