falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Aliyekuibia akili zako anakutesa sana.......ona sasa!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mnauzunguka mbuyu ?!. Hamuwezi kuwa wema kwa kuogopa ukweli !!Wanaweza kushawishi walinzi maana walinzi ni binadamu
Halafu ikashawishi na serikali ya tahira jiwe kutowachulia hatua kwa kutokuwepo kazini siku ya tukio ???Wanaweza kushawishi walinzi maana walinzi ni binadamu
siwezi kuona hadithi..........Au umeshindwa kuona kinachodaiwa kuwa alishamuliwa na chama chake?
Watanzania wenzangu ningeomba tujadili kidogo ili kupanua ufahamu wetu na kutoa hoja zenye mashiko ili kutetea kile tunachokiamini.
Kumekuwa na msigano mkubwa wa watu kuwa na mitazamo tofauti kutokana na shambulio la ndugu yetu Lissu. Sasa nimuombe kila mmoja anayechangia ajaribu kueleza sababu ya yeye kuamini kuwa lilipangwa na vigogo wa chama chake na angalau atoe kiashirio kimoja cha kutetea hoja yake.
Pili wale wote wanaoamini ni serikali iliyofanya shambulio hilo basi toeni vielelezo vya kutetea hoja.
Swali moja la kuanza nalo kama ni vigogo wa chama chake, hivi ndio walioweza kushawishi walinzi wote wanaolinda nyumba za viongozi wa serikali ikiwemo nyumba ya naibu spika? je serikali imewaacha hao viongozi ambao wamesababisha nchi kuchafuliwa kimataifa kuhusu shambulio la Lissu?
Je hao viongozi wameweza kuishawishi serikali iondoe kamera zote zilizokuwa kwenye compound hiyo?
Toa mawazo yako siyo matusi, tuwe wastarabu
Aliyempiga Lisu anajulkana, hakuna utata. Tunasuburi muda muafaka ufike atajwe!Kuna ushahidi wa kimazingira ambao mtu mwenye akili timamu anaweza kuyatumia kubaini mhusika aliyeamuru shambulio dhidi ya Lissu, Kwanza:-
1: Ni kauli ya nchi ikiwa vitani halafu askari mmoja akasaliti nadhani mnajua ambacho huwa anafanywa, kauli hii ilitolewa na mtu mzito nchini.
2: Askali wanaolinda nyumba za viongozi wa serikali Dodoma siku ya tukio kutokuwepo hapo.
3: Kamera za CCTV kuondolewa eneo la tukio na kufichwa kusikojulikana.
4: Tundu Lissu kunyimwa gharama za matibabu, hapa haiwezi kuingia akilini eti hakufuata utaratibu? hivi kwa hali ile angefuata utaratibu kweli? acheni majibu mepesi kwa maswali magumu.
5: Moja ya utaratibu ambao unadaiwa kuwa haukufuatwa na Tundu Lissu ili apate fedha za matibabu ni kwamba Rais hakutoa kibali.....sasa swali linakuja....Hivi kweli Rais alikosa Utu, Ubinadamu na busara kuona kwamba huyu Tundu Lissu hata kama sheria zipo basi kwa hali aliyonayo apewe fedha tu za matibabu? Ubinadamu upo wapi? Utu upo wapi?
6: Hata simu tu kupigiwa kujuliwa hali ilishindikana?
Hivyo, itoshe kusema kwamba mhusika mkuu wa shambulio dhidi ya Lissu ni Jiwe Kuu, na tushamjua toka zamani, Roho mbaya haijengi, kumbuka ulikuwa MBUNGE tu wa kawaida, hayo mamlaka ya kuamuru mauaji umeyatoa wapi wewe Jiwe?
Naam ujinga wa jiwe kuu unaliharibu taifa.upuuzi ati work.huuujinga utaliharibu taifa
upuuzi ati work.huuujinga utaliharibu taifa
Ngoja lissu arudi msaidiane kweny ushahid
Lissu kidomodomo chake..! Alikosa maadiliKuna ushahidi wa kimazingira ambao mtu mwenye akili timamu anaweza kuyatumia kubaini mhusika aliyeamuru shambulio dhidi ya Lissu, Kwanza:-
1: Ni kauli ya nchi ikiwa vitani halafu askari mmoja akasaliti nadhani mnajua ambacho huwa anafanywa, kauli hii ilitolewa na mtu mzito nchini.
2: Askali wanaolinda nyumba za viongozi wa serikali Dodoma siku ya tukio kutokuwepo hapo.
3: Kamera za CCTV kuondolewa eneo la tukio na kufichwa kusikojulikana.
4: Tundu Lissu kunyimwa gharama za matibabu, hapa haiwezi kuingia akilini eti hakufuata utaratibu? hivi kwa hali ile angefuata utaratibu kweli? acheni majibu mepesi kwa maswali magumu.
5: Moja ya utaratibu ambao unadaiwa kuwa haukufuatwa na Tundu Lissu ili apate fedha za matibabu ni kwamba Rais hakutoa kibali.....sasa swali linakuja....Hivi kweli Rais alikosa Utu, Ubinadamu na busara kuona kwamba huyu Tundu Lissu hata kama sheria zipo basi kwa hali aliyonayo apewe fedha tu za matibabu? Ubinadamu upo wapi? Utu upo wapi?
6: Hata simu tu kupigiwa kujuliwa hali ilishindikana?
Hivyo, itoshe kusema kwamba mhusika mkuu wa shambulio dhidi ya Lissu ni Jiwe Kuu, na tushamjua toka zamani, Roho mbaya haijengi, kumbuka ulikuwa MBUNGE tu wa kawaida, hayo mamlaka ya kuamuru mauaji umeyatoa wapi wewe Jiwe?
Ndo maana bundi akatua bungeni 😅😅Alieendesha shambulio ni Ndugai narudia Ndugai narudia Ndugai.