Wewe ni kati ya mapumbavu wakubwa kuwahi kutokea na inaonekana ni mmoja wa watu wasiyo litakia mema taifa letu.
 
Ni kati ya mapumbavu wakubwa sana hapa tanzania
Hizi propaganda zilishachuja sana. Wewe uko dunia gani? Ilitakiwa uwaulize wenzako kabla ya kutupotezea muda na Uzi wa kipuuzi.
 
Hakika kabisa kaka naona anajitahidi kuyafukua makaburi ili kwa makusudi aamushe hasira za watanzania
Queen Esther seems to be quinine
Mtu alishaumizwa mwache apumzike
 
Huyo kilaza kaamua kwa makusudi kulichafua jukwaa
 
Short and clear
 
Queen Esther seems to be quinine
Mtu alishaumizwa mwache apumzike
Anajifanya haamini kama amepona.. utadhani alikuwepo ndani ya gari. Hizi shwain za lumumba shida tupu
 
1)Ukijuliza nani aliratibu askari kutokuwa lindoni siku ya tukio
2)Nani bila ya uoga aling'oa CCTV cameras kutoka eneo la tukio baada ya shambulio lile.
3)Nani anawazuia polisi kufuatilia zilipo CCTV cameras pamoja na savers.
4)Nani alizuia Lissu asigharamiwe matibabu ili afe na lengo litimie.
5)Spika alimuogopa/alizuiwa na nani kwenda kumjulia hali Lissu wakati alishaahidi.
6)Nani anawapa msukumo watu kuja na theories feki(kama hii yako) kujaribu kuupotosha ukweli.
7)Nani alibana vyombo vya upelelezi vya kimataifa ambavyo ni credible na reliable visishirikishwe kwenye upelelezi kama utashi wa watu wake na chama chake walivyoomba.
8)Kwanini mpaka leo hakuna hata dalili za kitu gani kinaendelea katika upelelezi.

Nadhani ukijiuliza maswali hayo machache utapata mwanga wa who was behind the failed attempt.
 

..kwa nini watuhumiwa hawapelekwi mahakamani na kurudishwa mahabusu huku uchunguzi ukiendelea na vyombo vikisubiri TL arejee?

..mashekhe wa uamsho wako mahabusu wakisubiri uchunguzi ukamilike.

..Kabendera yuko mahabusu na amefishwa mahakamani kabla ya uchunguzi kukamilika.

..Nini kinaizuia serikali kuwafikisha mahakamani, na kuwahifadhi mahabusu mpaka pale TL atakaporudi na kukamilisha uchunguzi?

Cc Pascal Mayalla, Nguruvi3
 
Hivi wewe ukizaliwa na sura mbovu na matege ni lazima Mama yako ana sura mbovu?

Mawazo takataka kama haya ni vema ukamwambia kwanza tahira aliyekuzaa halafu ndio ulete Propaganda hapa Jf
 
Majibu ya maswali yako yapo kwenye videos za CCTV Camera zilizoondoshwa upesi kwenye nyumba ya Waziri Kalemani punde baada ya Lissu kumiminiwa risasi 38.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…