nyumbu mwerevu
Member
- Nov 11, 2016
- 88
- 94
**** nyoko mpuuzi wewe,unaleta hoja za kijinga kijinga tu,mtu kaumizwa na unahoji ujinga,kawaulize wajinga wenzio huo ujinga wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafsi zinawasuta tu nyie!
Una uhakika risasi zilipiga kwenye kioo tu?
Huoni risasi nyingi zilipungua nguvu kwa kupiga mlango kwanza?
Ukilaza kiti na ukakilalia kifudifudi, mguu upi uatakuwa mlangoni we kilaza?
Mkatubu nyie watu!!
Kwanza hata kukujibu tunakosea,tunatakiwa tukuache na unafiki wako maana ukweli unaujua ili nafsi ndio inakutesa unaleta propaganda za kijinga na kipuuzi!!
Usipate shida,nenda wewe ukapigwe hizo risasi ili ulete ushahidi upande zilipopigwaJF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.
Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.
2 Mguu ulioumia ni wa kulia..
3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?
4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?
5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.
Karibuni wataalamu tudadavue.
Queen Esther
Kwanza tuanze na hapa,umesomea CSI?JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.
Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.
2 Mguu ulioumia ni wa kulia..
3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?
4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?
5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.
Karibuni wataalamu tudadavue.
Queen Esther
Watuhumiwa ni akina nani? Ati wapelekwe mahakamani, Je, nyinyi mnawafahamu? Kwa nini hawawasemi hao waliofanya hayo majaribio?
Mashehe walio ndani si walikamatwa kwa kile walichokua wanakifanya.
Kabendera yuko ndani kwa sababu alikataa wito wa polisi na ameshitakiwa kwa kutakatisha pesa na kushindwa kulipa kodi.
Polisi haiwezi kukamata watu tu ili mradi kuwaridhisha wapinzani kwa ujinga wao.
Wacheni kulialia kama kasuku.
Pole sana umekosa utu, vipi kama ni ndugu yako angekuwa amepigwa risasi? ungeona safi hivo?Tundu Lissu pamoja na Dreva wake waje wapeleke ushahidi polisi, vile vile Chadema wahojiwe? Je, kwa nini Tundu Lisu ameghairi kurudi kama alivopanga mwanzo? Je, huyo daktarin wake alipkuwa amepanga safari alikuwa hawana mawasiliano naye? Au kwa sababu Ndege yetu ya Dodoma iliachiwa? Au ni kwa sababu mbunge mpya aliapishwa? Tundu Lisu lazima afahamu kwamba ana kesi ya kujibu kwa kulichafua taifa alipokuwa kwenye matibabu.
Wewe si mwana JF mwenye waredi.... Ikiwa ndo hivyo mie nakimbia jukwaa, siwezi kuishi na wanafiki kiwango cha PhD kama wewe.JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.
Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.
2 Mguu ulioumia ni wa kulia..
3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?
4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?
5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.
Karibuni wataalamu tudadavue.
Queen Esther
Kabisa.kuna watu bado wanatumia masaburi kufikiriHizi propaganda zilishachuja sana. Wewe uko dunia gani? Ilitakiwa uwaulize wenzako kabla ya kutupotezea muda na Uzi wa kipuuzi.
Hii Dunia ina watu wakatili sanaKifupi zilipoanza kurindima dereva alimwambia laza kiti katika ku kloo kwenda kiti cha nyuma definitely mguu wakulia ukawa mlangoni na wapiga risasi wakawa wamekarili yupo kiti cha mbele kumbe kajisogeza kiti cha nyuma na ndo pona yake.
Kama kweli ameumia mguu wa kulia kweli inafikirisha kwani kwa magari yanayotumika Tanzania dereva hukaa upande wa kulia na anayemuendesha kushoto. Labda kama alikaa nyuma ya dereva, kama alikaaa mbele mhh
Jee unauhakika kuwa aina ya risasi zilizotolewa ndani ya mwili wake (huko Nairobi na Ubelgiji) ni sawa na zile zilizotoboa gari lake (za AK 47)?Kwa risasi zilizotolewa ndani ya mwili wake......
Mpaka aina ya bunduki iliyotumika unaijua je ulikuwepo eneo la tukio? Kama jibu ni hapana umejuaje kuwa ilikua ni ak 47?Jee unauhakika kuwa aina ya risasi zilizotolewa ndani ya mwili wake (huko Nairobi na Ubelgiji) ni sawa na zile zilizotoboa gari lake (za AK 47)?
Msengenyau dadeki [emoji855][emoji855] [emoji855]Jee unauhakika kuwa aina ya risasi zilizotolewa ndani ya mwili wake (huko Nairobi na Ubelgiji) ni sawa na zile zilizotoboa gari lake (za AK 47)?
Mzee wako angekuwa anapiga punyeto angetuondolea hasara kubwa sana dunianiJF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.
Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.
2 Mguu ulioumia ni wa kulia..
3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?
4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?
5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.
Karibuni wataalamu tudadavue.
Queen Esther
Maswali magumu kama haya ndio maana Wana Lumumba wanatokaga kapa mahakamani.Nafsi zinawasuta tu nyie!
Una uhakika risasi zilipiga kwenye kioo tu?
Huoni risasi nyingi zilipungua nguvu kwa kupiga mlango kwanza?
Ukilaza kiti na ukakilalia kifudifudi, mguu upi uatakuwa mlangoni we kilaza?
Mkatubu nyie watu!!
Kwanza hata kukujibu tunakosea,tunatakiwa tukuache na unafiki wako maana ukweli unaujua ili nafsi ndio inakutesa unaleta propaganda za kijinga na kipuuzi!!
Halafu anajiita "Queen"!Mkononi lazima ameshika mkia wa fisi anaendeleza ulozi.Wewe lazima utakuwa ni mchawi!