Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
**** nyoko mpuuzi wewe,unaleta hoja za kijinga kijinga tu,mtu kaumizwa na unahoji ujinga,kawaulize wajinga wenzio huo ujinga wako
 
Nafsi zinawasuta tu nyie!

Una uhakika risasi zilipiga kwenye kioo tu?

Huoni risasi nyingi zilipungua nguvu kwa kupiga mlango kwanza?

Ukilaza kiti na ukakilalia kifudifudi, mguu upi uatakuwa mlangoni we kilaza?

Mkatubu nyie watu!!

Kwanza hata kukujibu tunakosea,tunatakiwa tukuache na unafiki wako maana ukweli unaujua ili nafsi ndio inakutesa unaleta propaganda za kijinga na kipuuzi!!

Naomba kukuuliza ... hivi Kwanini linapohusu swala tofauti kidogo na mwelekeo wako unapoteza Ghafla akili ya kupata maono na theories kama uwekewapo hata kichwa tu cha habari Kuhusu Mfano tu. JPM. Huoni unapoteza sifa za kuwa mtu. Intellektuell Suizid.
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
Usipate shida,nenda wewe ukapigwe hizo risasi ili ulete ushahidi upande zilipopigwa
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
Kwanza tuanze na hapa,umesomea CSI?
 
Watuhumiwa ni akina nani? Ati wapelekwe mahakamani, Je, nyinyi mnawafahamu? Kwa nini hawawasemi hao waliofanya hayo majaribio?

Mashehe walio ndani si walikamatwa kwa kile walichokua wanakifanya.

Kabendera yuko ndani kwa sababu alikataa wito wa polisi na ameshitakiwa kwa kutakatisha pesa na kushindwa kulipa kodi.

Polisi haiwezi kukamata watu tu ili mradi kuwaridhisha wapinzani kwa ujinga wao.

Wacheni kulialia kama kasuku.

..aliyeondoa walinzi wa area D atakuwa ameshirikiana na waliopanga jaribio lile la mauaji.

..Serikali inatakiwa kufuata utaratibu wa mashtaka iliotumia ktk shauri la kutekwa Mohamed "MO" Dewji. Kuna dereva amefikishwa mahakamani kwa kuwasaidia waliomteka MO kupangisha nyumba.

..kwenye suala la TL in-charge wa walinzi wa area D kwa kitendo chake cha kuondoa ulinzi amesaidia au amewezesha shambulio la kigaidi dhidi ya TL na dereva wake.

..vilevile serikali inapaswa kuwataja na kutoa picha zao ktk vyombo vya habari watuhumiwa ambao bado wanatafutwa.

..kama serikali imeweza kuwataja waliomteka MO Dewji baada ya kumpata mmoja wa washirika wao inashindwa nini kuwataja waliomshambulia TL?

..Je, MO Dewji ana thamani kuliko TL? Kwanini serikali na vyombo vyake wanajituma zaidi ktk tukio la MO huku wakiburuza miguu na kuwa na kigugumizi ktk tukio la kinyama na kigaidi dhidi ya TL?

..Mwisho, nakuomba utumie lugha yenye UPENDO. Pia tumia lugha yenye KUFARIJI. Unaposema TL analialia unakosea.

..Firikia hatua za kimatibabu alizopitia na leo amekuwa MLEMAVU tena ktk utu uzima. Mhanga wa tukio la kinyama kama lile siyo vema kumkejeli kuwa analialia.

Cc Mmawia
 
Tundu Lissu pamoja na Dreva wake waje wapeleke ushahidi polisi, vile vile Chadema wahojiwe? Je, kwa nini Tundu Lisu ameghairi kurudi kama alivopanga mwanzo? Je, huyo daktarin wake alipkuwa amepanga safari alikuwa hawana mawasiliano naye? Au kwa sababu Ndege yetu ya Dodoma iliachiwa? Au ni kwa sababu mbunge mpya aliapishwa? Tundu Lisu lazima afahamu kwamba ana kesi ya kujibu kwa kulichafua taifa alipokuwa kwenye matibabu.
Pole sana umekosa utu, vipi kama ni ndugu yako angekuwa amepigwa risasi? ungeona safi hivo?
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
Wewe si mwana JF mwenye waredi.... Ikiwa ndo hivyo mie nakimbia jukwaa, siwezi kuishi na wanafiki kiwango cha PhD kama wewe.
Nakuonya, tuache heshima ya jamvi letu linalotesa unaowatetea.
 
Yule binti wa NIT askari alipiga risasi juu angani lakini risasi ilipinda kona kali na kwenda kumuua binti aliyekua kwenye daladala. Sasa unashangaa nini hapo wakati risasi zenu zina uwezo wa kupinda kona.
 
Kifupi zilipoanza kurindima dereva alimwambia laza kiti katika ku kloo kwenda kiti cha nyuma definitely mguu wakulia ukawa mlangoni na wapiga risasi wakawa wamekarili yupo kiti cha mbele kumbe kajisogeza kiti cha nyuma na ndo pona yake.
 
Hii Dunia ina watu wakatili sana

Hafu bado anaenda kanisani yule bwana
 
kaa mbele lala kifudi fudi ukiangalia nyuma mguu uliumia utakuwa upande upi wa gar?
Kama kweli ameumia mguu wa kulia kweli inafikirisha kwani kwa magari yanayotumika Tanzania dereva hukaa upande wa kulia na anayemuendesha kushoto. Labda kama alikaa nyuma ya dereva, kama alikaaa mbele mhh
 
Kwa risasi zilizotolewa ndani ya mwili wake......
Jee unauhakika kuwa aina ya risasi zilizotolewa ndani ya mwili wake (huko Nairobi na Ubelgiji) ni sawa na zile zilizotoboa gari lake (za AK 47)?
 
Jee unauhakika kuwa aina ya risasi zilizotolewa ndani ya mwili wake (huko Nairobi na Ubelgiji) ni sawa na zile zilizotoboa gari lake (za AK 47)?
Mpaka aina ya bunduki iliyotumika unaijua je ulikuwepo eneo la tukio? Kama jibu ni hapana umejuaje kuwa ilikua ni ak 47?
 
Kwa hyo unataka kusema ni maigizo?

Ingekuwa ni maigizo ndugai asingemfuta ubunge.ila ile ni kweli na hawampendi na wanatamani AFE.
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
Mzee wako angekuwa anapiga punyeto angetuondolea hasara kubwa sana duniani
 
Nafsi zinawasuta tu nyie!

Una uhakika risasi zilipiga kwenye kioo tu?

Huoni risasi nyingi zilipungua nguvu kwa kupiga mlango kwanza?

Ukilaza kiti na ukakilalia kifudifudi, mguu upi uatakuwa mlangoni we kilaza?

Mkatubu nyie watu!!

Kwanza hata kukujibu tunakosea,tunatakiwa tukuache na unafiki wako maana ukweli unaujua ili nafsi ndio inakutesa unaleta propaganda za kijinga na kipuuzi!!
Maswali magumu kama haya ndio maana Wana Lumumba wanatokaga kapa mahakamani.
 
Back
Top Bottom