Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Tukumbuke ya libya jamani atutaki Tz tufike uko.binafsi navutiwa sana na arakati za chama pinzani katika kuikosoa serikali, japo serikali ya jpm inaonakana miongoni mwa wa Tz wengi inapinga vikali arakati za upinzani!tukio la TL kwa Watanzania walio wengi wanaweza kulihusisha na mambo ambayo serikali imekua ikiyafanya kwa upinzani juu ya yote ayo JPM ni raisi ambae mwenye msimamo mkali kwa masilahi ya taifa ambao unapelekea miongoni mwa watanzania wengi kumuona ni DIkteta lkn bila kumbuka juhud zake katika kupigania rasmali za watanzania kuliko viongozi wote wa Tz Waliopita hii uenda ikapelekea Mataifa ya ulaya kuchukizwa na harakati zake na kutafuta mbinu za kuaribu juhudi yake ambayo zingeweza kulibadilsha taifa la Tz swala la madini kama almasi Tanzanite,makinikia,ni swala zito sana ambalo mataifa ya ulaya ya yanajipatia faida kubwa kupitia sisi kwa nini mataifa ayo yasifanye chochote ili indelee kutula sisi WaTanzania !tafakari kabla ya kumnyoshea kidole mtu yoyote yule kwenye swala hili la Tundu lissu
 
Hivi nyie magamba mnataka kutuaminisha kwamba rais, ndio anauchungu saaana wa hii inchi kuliko watanzania wengine?
 
Najiuliza kitendo cha TBC kurusha live waziri kutembelea madini yaliyokamatwa ilikuwa ni kutuzima tusiongelee tukio la kushambuliwa kwa LISU au kutuonyesha kuwa wanafanya kazi? wakati hakuna jipya
 
Watu tulishawajua wazee wa kiki zinazogoma,j3 madini thamani ilikua dola milioni 65 jana kwa kukosa kumbukumbu hesabu imeshuka mpka tsh 32bn...watu wasiojulikana huwa waongo mpka wanakosa kumbukumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unataka kusema yale madini ni feki?...........labda walichokosea ni kuyahifadhi madini yenye thamani ya mabilioni kwenye kile kibubu
 
Watu tulishawajua wazee wa kiki zinazogoma,j3 madini thamani ilikua dola milioni 65 jana kwa kukosa kumbukumbu hesabu imeshuka mpka tsh 32bn...watu wasiojulikana huwa waongo mpka wanakosa kumbukumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo shida ya uongo unasahau juzi ulisema nini.
Kila ukija unakuja na mapya na wahandishi sijui ni kwa sababu ya kuhongwa wanashindwa kuhoji
 
ADUI WA ADUI YAKO NI RAFIKI YAKO
RAFIKI WA ADUI YAKO NI ADUI YAKO.

WAR OPPORTUNIST:
mdhuru/mchokoze/mchonganishe adui wa adui yako ili pindi wanapigana wewe ubaki kama msaidizi ili kuepuka madhara ya moja kwa moja na kufanikisha hitaji lako.
Mifano halisi:
sadam hussein v/s U.S.A. , USA ili kulinda maslahi yao (si ya Iraq) walifanikisha hilo na mpaka sasa no stability in Iraq.

Gadafi v/s U.S.A, USA ili kulinda maslahi yao (si ya libya) walifanikisha hilo kupitia kigezo cha demokrasia kupitia watu wa libya na mpaka sasa no stability in libya.

Vision:
Tanzania resources V/S Mataifa fulani (chini ya kivuli cha kampuni fulani ya uchimbaji madini)
Ili kulinda maslahi yao ( rasilimali zetu) wanaweza fanya yafuatayo:
  • Kuhakikisha kwanza wanavuruga ushirikiano wa kitaifa ili kupitia hapo watapata adui wa adui yao katika maslahi yao hivyo kuanzia hapo watamtumia adui wa adui yao kukamilisha kusudio lao wakiwa pembeni.
  • Watatumia kila hila (hata kumwaga damu) ili kuhakikisha wanatengeneza chuki baina pande mbili hizo, katika namna ya kificho kisha kumuuliza si unaona walivyowabaya?
  • Kauli pekee watu hawa fulani iliyofanikisha mission zao almost zote duniani ni kaneno DEMOKRASIA.
Tutafakari kwa kina na tuchambue kwa kina ili kukwepa kuangukia sehemu isiyo sahihi kifikra dhidi ya kilichomtokea ndugu yetu lissu.

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Mbariki Rais wetu, Mungu mponye Tundu Antiphas Lissu.
Ni mtazamo wangu.
 
Vission:

Inahitaji akili na utashi kutambua hilo lakini kwa akili fupi watu hukimbilia kuiwazia serikali kuhusika na matendo yote mabaya Mungu tunakuomba umponye Tundulisu
 
Back
Top Bottom