fralay97benami
Member
- Aug 13, 2017
- 17
- 11
Tukumbuke ya libya jamani atutaki Tz tufike uko.binafsi navutiwa sana na arakati za chama pinzani katika kuikosoa serikali, japo serikali ya jpm inaonakana miongoni mwa wa Tz wengi inapinga vikali arakati za upinzani!tukio la TL kwa Watanzania walio wengi wanaweza kulihusisha na mambo ambayo serikali imekua ikiyafanya kwa upinzani juu ya yote ayo JPM ni raisi ambae mwenye msimamo mkali kwa masilahi ya taifa ambao unapelekea miongoni mwa watanzania wengi kumuona ni DIkteta lkn bila kumbuka juhud zake katika kupigania rasmali za watanzania kuliko viongozi wote wa Tz Waliopita hii uenda ikapelekea Mataifa ya ulaya kuchukizwa na harakati zake na kutafuta mbinu za kuaribu juhudi yake ambayo zingeweza kulibadilsha taifa la Tz swala la madini kama almasi Tanzanite,makinikia,ni swala zito sana ambalo mataifa ya ulaya ya yanajipatia faida kubwa kupitia sisi kwa nini mataifa ayo yasifanye chochote ili indelee kutula sisi WaTanzania !tafakari kabla ya kumnyoshea kidole mtu yoyote yule kwenye swala hili la Tundu lissu