Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Huyu mtu aliyekaa na halmashauri yake ya kichwa kiaamua kuwa Tundu Lissu lazima auawe tena mchana kweupe kwa kupigwa Risasi zisizo na idadi, tutambue kuwa ni hatari sana kuliko ambavyo baadhi mnamchukulia.

Tusidhani kwamba huyo mtu hampendi Lissu peke yake hapa nchini au duniani. Jana alikuwa Lissu nadhani baada ya Lissu kutoweka ni Mimi au wewe.

Narudia tena huyu mtu ni hatari sana si kwa mwanaccm, cuf, ACT wazalendo wala chadema. Hakuna aliye salama

Tunaochukulia mzaha tukio hili tuendelee, but Time will tell
According to Msigwa: Mbowe, Mdee na Msigwa on the list.... and many more to be added
 
Huyu mtu aliyekaa na halmashauri yake ya kichwa kiaamua kuwa Tundu Lissu lazima auawe tena mchana kweupe kwa kupigwa Risasi zisizo na idadi, tutambue kuwa ni hatari sana kuliko ambavyo baadhi mnamchukulia.

Tusidhani kwamba huyo mtu hampendi Lissu peke yake hapa nchini au duniani. Jana alikuwa Lissu nadhani baada ya Lissu kutoweka ni Mimi au wewe.

Narudia tena huyu mtu ni hatari sana si kwa mwanaccm, cuf, ACT wazalendo wala chadema. Hakuna aliye salama

Tunaochukulia mzaha tukio hili tuendelee, but Time will tell
Huyo mtu ni hatari kuliko fisi
 
Huyu mtu "asiyejulikana" ni muovu kuzidi hata shetani. Huyu "asiyejulikana" ni lazima ajulikane ili asije kutumaliza!
 
huyu si hatari kwani anaenda kwa maelekezo , na ni watu wengi haiwezekani dreva awe yeye na mshambuliaji awe yeye yeye anamiliki ma nissan za mauaji tu
 
Hakika hujakosea haijulikani itafuatata zamu ya nani? Hapaswi kudhaniwa ni adui wa Watu tu ni adui mkubwa wa Tanzania Vyombo vyote vya ulinzi na Usalama vishirikiane kumpata au kuwapata wahusika hawaitakii Amani Tanzania mbere Yetu na Duniani pia Wananchi tusilumbane pia Bali tulilaani tukio hili ambalo Kwetu Ni nuksi tumezoea kuyasoma Somalia nk ila si Kwetu Tanzania
 
Ni mtu hatari sana kuwepo ndani ya nchi.
Ila na sisi Watanzania tuna tatizo kubwa sana sana katika namna ya kukomesha mambo makubwa kama haya, iweje mjadala usiwe nani mtu huyu muuaji badala yake tuna fikia kutoa matamko nani kamsafirisha, nani kahudumia mgonjwa, idadi ya risasi ni 32 au 38 na mambo kama hayo.
Tunaelekeza nguvu kubwa kuzuia wachangia damu, sijui wasoma Albadili badala ya nguvu kujua nani muhusika. Kwa nchi makini kila lisemwalo kumuhusisha mtu basi mtu huyo anahojiwa. Jee Paulo Makonda katajwa kuwa alikuwa Dodoma sijui Morogoro na hajulikani alifuata nini, jee kuna gharama gani kumhoji na kupata ukweli ili kumsafisha kama hahusiki?
Mnadhani Lissu hana ndugu au wapenzi wake ambao wengine wana akili za visasi na kwamba wanaweza kufanya kisasi kwa mtu ambaye kumbe hahusiki? Tuendelee kuharibu nchi yetu kwa mauaji kutokana na mtu mmoja kuleta tabia yake ya mauaji kwa sababu tuu tunajikita kwenye ushabiki na kudharau mambo makubwa mabaya.
Tabia za kule Iraq, Somalia, Yemen nk za kuvaa mabomu na kwenda masokoni na makanisani au misikitini na kujilipua hazikushuka toka mbinguni bali zilianzishwa na mtu mmoja mmoja kichaa na jamii ikajikuta ipo ndani ya mwenendo huo.
Jee Tanzania ile ya kuitana NDUGU leo inaelekea wapi? Tu hakikishe huyo mtu mbaya ANATOKOMEZWA ili tuwe salama
 
Kweli mkuu. Haya masuala ya ugaidi huwa yanaanza taratibu tu na mara nyingi chanzo huwa ni uonevu wa serikali yenyewe. Ni muda mwafaka sasa kwa Magufuli na watu wake kuacha ubabe ubabe kwenye mambo yasiyo ya msingi, na kujikita katika majukumu yao ya kikatiba. Wasikae kuamini watanzania wa leo ni kama wa miaka 30 iliyopita. Vizazi vinabadilika, wafanye yanayowapasa ili kuepusha shari zisizo za lazima...
 
Tunaongozwa na Mnyarwanda.
Hata teuzi zake zinadhihirisha. Bahima empire
 
Bashite kma anahusika au anajua mipango dhambi yke kubwa itabaki kua tasa,mtu kma yeye hapaswi kupewa watoto mana kwake mwanadamu ni sawa na mnyama...namuombe aendelee kua tasa na mungu ampe tako kubwa kma joyce wowowo
 
Lipumba wakati wa kampeni alipopewa zile Dola milion 1.5 na CCM akatorokea Rwanda alienda akaunda kikundi cha kigaidi ndicho kaanza kukitumia sasa kuwaangamiza chadema kwa kushirikiana na Le mutuz na wenzake wasiojulikana.
 
Huyu mtu aliyekaa na halmashauri yake ya kichwa kiaamua kuwa Tundu Lissu lazima auawe tena mchana kweupe kwa kupigwa Risasi zisizo na idadi, tutambue kuwa ni hatari sana kuliko ambavyo baadhi mnamchukulia.

Tusidhani kwamba huyo mtu hampendi Lissu peke yake hapa nchini au duniani. Jana alikuwa Lissu nadhani baada ya Lissu kutoweka ni Mimi au wewe.

Narudia tena huyu mtu ni hatari sana si kwa mwanaccm, cuf, ACT wazalendo wala chadema. Hakuna aliye salama

Tunaochukulia mzaha tukio hili tuendelee, but Time will tell

Cc. BASHITE.
 
Inaonekana unamjua au kumhisi mtu aisee
 
Tunaongozwa na Mnyarwanda.
Hata teuzi zake zinadhihirisha. Bahima empire
Hata CDF ni mrundi ndiyo maana hana huruma na Asikari wake kawapora mikopo na kuwatesa kukaa kambini kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni, hawana uchungu na watanzania wameamua Kutawala Nchi kwa mujibu wa fikra zao sio kwa mujibu wa Katiba.
 
Inaonekana unamjua au kumhisi mtu aisee
Msake Le mutuz huko kwenye Disco na bar mtandike vibao viwili vikali Usoni atasema nani aliwatuma kwenda kufanya unyama huo, mtafute kwa bidii ungawa week yote hii anashinda mda mwingi kwa waganga wa kienyeji.
 
Back
Top Bottom