bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,699
- 4,117
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
power is power.he has a bright future!!
waziri wa mambo ya ndani (empty)
tupaze sauti labda wababe kuliko Baba watatuskiaBora dunia ijue haya mateso ya Lissu yanatoka wapi.
Duhu.of cause why people
yaani mi sijui tunakwenda wapiKuna lichizi flani eti linataka Baba Bashite atawale miaka 7.
Limekoswa u waziri linajipendekeza.
Uchumi umerudi nyuma miaka 4
Yaani umetoa perspective nzuri sana. Thanks.c and p
Shambulio la Mbunge Tundu Lissu henda tukaliona kubwa sana ila kama watanzania ni waungwana tujikubushe athari ya yaliyotokea kibiti.
-JUMLA YA WALIOKUFA NI ZAIDI YA AROBAINI.
-Wote walikuwa ni viongozi wa serikali na chama na 17 walikuwa ni askari polisi.
-wastani wa utegemezi kwa familia ni watu nne
_jumla ya familia zilizopoteza wapendwa wao ni zaidi ya arobaini.
-serikali ilipoteza watumishi
-zaidi ya wanawake arobaini waliachwa wajane
-zaidi ya wategemezi 160 waliachwa bila msaada. Hivyo kupelekea ugumu waaisha kwa familia hizo.
-wengine walijeruhiwa.
Matukio haya hayakupewa uzito sana na vyama vya upinzani, na kituo cha Haki za binadamu na kuoneka ni kitu kirahisi sana na hakuna hasara kwa taifa.
-Uzito wa swala la Lissu wala halifiki hata robo wa lile la kibiti.
Tukio la Lissu kushambuliwa linastua ndio ila sijona umuhimu wa kutaka hata kuingila shughuli za baadhi ya mihili kama Bunge. Vyombo vya ulinzi vinafanya kazi yake sioni haja ya baadhi ya wanasiasa kuwachanganya watanzania.
Tunathamini na kuheshimu mchango wa Lissu hapa nchini hivyo tunajali pia uhai wake. Sote tunaungana kulaani tukio lile na yote yaliyotokea Kibiti na kwingineko. Tunamuombea Lissu apate nafuu, Mungu amponye.
-press zenu hazina umuhimu kusaidi uchunguzi bali kufaidisha umati na mitandao ya kijamii. wasilisheni malalamiko yenu mahala sahihi.
mzalendo ink.
www.facebook.com/mzalendoT
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujui kama walimshambulia kwa kumpinga Magufuli. Pengine walimshambulia kwa sababu nyingine kabisa, nyingine zikiwa ndani ya Chadema.Huyu ni mtu hatari kuliko watu wengi tunavyodhani!
Leo kapanga kumuua Tundu Lissu kwa ajili ya kumpinga Mkuu.....
Hatujui kesho atapanga kumuua nani, labda wewe au Mimi!
Time will Tell........
Hakuvamia mawingu. Ule ulikuwa ulinzi wake wa kawaida. That was his crew, man. That is how he rolls.Bashite naye ni hatari sana, alivamia mawingu tena wakiwa live on air!
????????????Tunaongozwa na Mnyarwanda.
Hata teuzi zake zinadhihirisha. Bahima empire
Nimejifunza kitu hapa.Hata CDF ni mrundi ndiyo maana hana huruma na Asikari wake kawapora mikopo na kuwatesa kukaa kambini kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni, hawana uchungu na watanzania wameamua Kutawala Nchi kwa mujibu wa fikra zao sio kwa mujibu wa Katiba.