Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

Kiongozi mwenye hofu yw Mungu hutamani kuona furaha na tabasamu ya wale anaowaongoza


Mtawala hufurahi akiona wale anaowatamawara wamejaa majeraha na huzuni kwenye sura zao
bd2831100688811641f25ccc3bd2726b.jpg
IMG-20170916-WA0023.jpg
IMG-20170916-WA0000.jpg
2239bd3635f0f7de11c3105b2f755539.jpg
 
Baada ya ripoti kutoka unakumbuka mtakatifu alisema nn juu ya mropokaji?
 
c and p

Shambulio la Mbunge Tundu Lissu henda tukaliona kubwa sana ila kama watanzania ni waungwana tujikubushe athari ya yaliyotokea kibiti.

-JUMLA YA WALIOKUFA NI ZAIDI YA AROBAINI.

-Wote walikuwa ni viongozi wa serikali na chama na 17 walikuwa ni askari polisi.

-wastani wa utegemezi kwa familia ni watu nne

_jumla ya familia zilizopoteza wapendwa wao ni zaidi ya arobaini.

-serikali ilipoteza watumishi

-zaidi ya wanawake arobaini waliachwa wajane

-zaidi ya wategemezi 160 waliachwa bila msaada. Hivyo kupelekea ugumu waaisha kwa familia hizo.

-wengine walijeruhiwa.

Matukio haya hayakupewa uzito sana na vyama vya upinzani, na kituo cha Haki za binadamu na kuoneka ni kitu kirahisi sana na hakuna hasara kwa taifa.

-Uzito wa swala la Lissu wala halifiki hata robo wa lile la kibiti.

Tukio la Lissu kushambuliwa linastua ndio ila sijona umuhimu wa kutaka hata kuingila shughuli za baadhi ya mihili kama Bunge. Vyombo vya ulinzi vinafanya kazi yake sioni haja ya baadhi ya wanasiasa kuwachanganya watanzania.

Tunathamini na kuheshimu mchango wa Lissu hapa nchini hivyo tunajali pia uhai wake. Sote tunaungana kulaani tukio lile na yote yaliyotokea Kibiti na kwingineko. Tunamuombea Lissu apate nafuu, Mungu amponye.

-press zenu hazina umuhimu kusaidi uchunguzi bali kufaidisha umati na mitandao ya kijamii. wasilisheni malalamiko yenu mahala sahihi.

mzalendo ink.


www.facebook.com/mzalendoT

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani umetoa perspective nzuri sana. Thanks.
 
Huyu ni mtu hatari kuliko watu wengi tunavyodhani!

Leo kapanga kumuua Tundu Lissu kwa ajili ya kumpinga Mkuu.....

Hatujui kesho atapanga kumuua nani, labda wewe au Mimi!

Time will Tell........
Hatujui kama walimshambulia kwa kumpinga Magufuli. Pengine walimshambulia kwa sababu nyingine kabisa, nyingine zikiwa ndani ya Chadema.
 
Bashite naye ni hatari sana, alivamia mawingu tena wakiwa live on air!
Hakuvamia mawingu. Ule ulikuwa ulinzi wake wa kawaida. That was his crew, man. That is how he rolls.
 
Hata CDF ni mrundi ndiyo maana hana huruma na Asikari wake kawapora mikopo na kuwatesa kukaa kambini kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni, hawana uchungu na watanzania wameamua Kutawala Nchi kwa mujibu wa fikra zao sio kwa mujibu wa Katiba.
Nimejifunza kitu hapa.
 
Kwa waliohusika na mheshiwa Raisi wetu lissu antipus yote hapo juu yatawageukia na Nina imani tutawajua tuu serikali yetu ikifanya uchunguzi, isipofanya uchunguzi tutawajua kwa imani ya mwenyezi mungu. Ila tupo hapa watakufa kifo kibaya cha uchungu.
 
Chonde Chonde.
Kwa heshima na taadhima tunaomba punguzeni dhihaka dhidi ya Raisi wetu John Pombe Magufuli.

Sisi tuliomchagua Rais Magufuli kuwa Rais wa Tanzania, tunavumilia sana dhihaka, matusi, kebehi na kashfa nyingi zinazotolewa dhidi ya Rais wetu tuliye mchagua kidemokrasia
kabisa.
Mjue kuwa mnapomtukana mnatutukana sisi pia.
Kama mnaona hafanyi yanayopendeza basi mwandaeni mgombea mnayemwona ni mtu anayefaa, fanyeni kampeni na mumchague awe Raisi wa Tanzania katika uchaguzi ujao.
Sasa hivi humu JF mtu akiandika kimsifia Rais Magufuli basi anaonekana hafai katika jamii, anatukanwa matusi yote yanayojulikana, na yasiyojulikana.
Huu sio uungwana hata kidogo, inakuwa kama imani ya dini.
Leo mtu akiandika kuuponda utawala wa Magufuli ndio anaonekana anabusara.
Tunalazimishwa kuwa na mawazo ya aina moja tu ya kuikashifu serikali.
Kumbukeni kuwa hata huyo mnaetaka awe Raisi wa Tanzania hatapendwa na kuchaguliwa na Watanzania wote.
Je ninyi mtapenda awe anatukanwa kila kukicha ?
Kama mnasingizia kuwa Magufuli ni mbaya mbona mlimtukana sana Raisi mstaafu Jakaya Kikwete enzi za utawala wake ?
Mbona mlimtukana Mkapa, na hata Mwinyi, na
Nyerere pia.
Hii tabia ya kiwatukana Viongozi mlioawachagua wenyewe haikubaliki hata kidogo.
Sisi tuliowachagua hawa viongozi tupo kimya sio kwamba hakuna mahali wamapotuudhi ila tunatimiza wajibu wa kuheshimu viongozi tuliowachagua na kama wanatenda mambo maovu na hawashauriki, tunajua jinsi ya kuwanyima kura pindi wakiomba tena nafasi ya kuchaguliwa.
Raisi John Pombe Magufuli ndiye Rais halali wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa wakati huu.
Ni wajibu wetu kumpa heshima zote kama kiongozi wa kitaifa na kama binadamu wa kawaida anayepaswa kuheshimiwa.
Sisi tuliomchagua na kumweka madarakani tunawavumilia sana dhihaka zenu dhidi ya kiongozi wetu huyu wa
Kitaifa.
Kama kuna jambo hamlidhiki nalo tumieni taratibu tulizojiwekea za kumweleza muwakilishi wenu kama Diwani au Mbunge atafikisha madai yenu kunako husika.

Mwaka 2020 naomba mtuwekee huyo malaika tumchague.
Atakayekuwa,
Mwema kupita wote,
Mpole kupita wote,
Mrefu kupita wote,
Mnene kupita wote,
Ana wake wengi kupita wote,
Mwenye akili kupita wote,
Mwenye hekima kupita wote,
Mweusi kupita wote,
Mfupi kupita wote,
Mzuri kupita wote,
Tajiri kupita wote,
Msafi kupita wote.
nk.
Ili angalao tujifumze kumheshimu.
 
Back
Top Bottom