Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Hujui kama walinzi waliokuwa kwenye lindo hawajahojiwa.

Lakini dereva, mwenye taarifa muhimu kuhusu kilichojiri wakati wa shambulio, amefichwa na CDM Nairobi.

Hii inaitwa OBSTRUCTION OF JUSTICE, na uongozi wa juu wa CDM wanaweza kuwa kwenye matatizo na vyombo vya sheria.
sasa kama hao walinzi hawajahojiwa what necessitates dereva wa TL kuhojiwa by the way maelezo yameshatolewa na KUB kwamba dereva atarudi Tz na sio kwamba katoroka! kwanini hao askari walokuwa lindo wasihojiwe. ? na kwanini polisi Dodoma haisemi lolote kuhusu hao waliokuwa lindo? !
 
sasa kama hao walinzi hawajahojiwa what necessitates dereva wa TL kuhojiwa by the way maelezo yameshatolewa na KUB kwamba dereva atarudi Tz na sio kwamba katoroka! kwanini hao askari walokuwa lindo wasihojiwe. ? na kwanini polisi Dodoma haisemi lolote kuhusu hao waliokuwa lindo? !
Mbona tunajaribu kufanya kazi tusizokuwa na ujuzi nazo? Waachieni vyombo vya usalama wafanye kazi zao.

CDM wamrudiche dereva. Na kama Lissu hali yake ikitengemaa na madaktari wakiruhusu basi polisi wa TZ wakamhoji anachokijua huko huko Nairobi.
 
CDM wamrudiche dereva.
ULICHOKOSOA NDICHO ULICHOKOSEA,NI VIZURI KUFICHA HISIA WAKATI FULANI
 
Mods sitaki kuwafundisha kazi, lakini kuna thread nyingi sana za watu wa CCM kukejeli shambulizi la kinyama alilofanyiwa Tundu Lissu kana kwamba yule ni mnyama na si binadamu. Kuendelea kuziacha nyuzi hizo ni kukaribisha lugha za kuudhi na matusi hivyo kushusha hadhi ya jukwaa letu.
Zipo thread nyingi ambazo pasipo na ushahidi zimekuwa zikimuhusisha mtukufu wetu Magufuli na Huu uhanisi ama chama chake cha mapinduzi pasipo kuwa na ushahidi... huoni kuwa na hili nalo ni tatizo nami pia nashauri kuwa kuachwa kwa nyuzi hizo ni kukaribisha rugha za kuudhi na matusi hivyo kushusha hadhi ya jukwaa letu
 
In 2020 you will bent the fuc*ing knee sizonje. A lot of kids who were btn 13 to 17 yrs old will be eligible to vote by then
Will these "kids" vote come 2020?

If Magufuli's administration inspires more youths to participate in the democratic process and vote (against or for Magufuli) that will be the highest achievement of his tenure.
 
Hata aliyemiminia mvua ya risasi ameshaomuogopa Lissu. Aliyemuepusha na kifo kile pale "msalabani" atamlipia kisasi.
Umeanza vizuri ila ulipomalizia Msalaba na kisasi nimeshangaa ulokole wako.
 
Back
Top Bottom